Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Avatar inaweza onekana ni picha tu... Lakini si kweli.. Inawakilisha personality ya mtu. Na hiyo personality huwa mwenye avatar anachagua kuwa anataka awe natural ama fake.

Mara nyingi kwa mchangiaji ambaye ni hodari sana, kama ile personality kajenga ni fake (unakuta once in a while kwa wale makini kuwasoma watu) humsoma true colors. HASA ambao hujenga personalities za kujisafisha asivyo... Mfano mtu ambaye anapenda sana ngono (kujifanya hapendi); ama mtu ambaye anakumbatia sana ushoga (kujifanya hakumbatii); ama mtu ambaye ni muongo sana (kujifanya ni mkweli na kuaminika).

Uzuri huja kwa mtu ambae yupo natural... Tutolee mfano The Boss... Hatoi maoni kujisafisha au kuonekana ni mzuri. Maoni yake siku zote mara nyingi sana hutoa yale ambayo yapo kichwani kwake kwa masuala yoyote yale iwe mahusiano ama nje ya mahusiano.

Mwisho wa siku unapata traits kama vile The Boss ni Muislam (sababu ikiwa Ramadhani you see the change in him), The Boss ni typical African man(Tokana na misimamo yake juu ya mahusiano upande wa wanaume) , The Boss ana sifa za Uanaume na si za Kivulana (Tokana na kuelewa majukumu yake kama mwanaume kwa kujiuliza mara mbili mbili kama anaweza mwambia afanye maarifa), The Boss ni Charming (kwa kufurahia kila member bila kujalisha ni mgeni); na mengine meeengi....

Huo ni mfano tu... So ikitokea member anapenda traits za such a person awe M/ke ama M/me mwenzie, inatokea tu kuwa atampenda na kumkubali.

Zion Daughter na saudari... Pamoja saana. Mie penda sana nyie pia.

Nafurah kuona kuwa ubongo wangu haujakosea kabisa kukuweka wewe katika kundi la NINAOWAPENDA.. Huwa natumia Ubongo kufanya maamuzi.. Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu SnowBall..salaam
An interesting topic indeed..
Uzoefu wangu mpaka sasa umenionesha kuwa mtu hawezi kufall in true love namna hii..
na take it from me, 95% ya watu wanaotafuta wapenzi kwa njia hii huwa wana 'issues'
(no offence!, its my experience)..ila otherwise mtu angeweza kupata mtu tu huko duniani ki-kawaida..
 
Last edited by a moderator:
Hizi avator mbili zinanifanya nivutiwe na hawa watu, kwa sababu nahisi kwamba hawa wamebobea kwenye maadili mazuri ya mwanamke wa kitanzania na kiafrica kwa ujumla.

avatar32630_4.gif
avatar39766_9.gif


 
Mkuu Telepathy haiko kwenye MAPENZI kama unavyofikiri, wataalamu wanasema telepathy ipo kwenye damu hasa kwa akina mama, inayobashiri kwa wanao...over..

tusihame mada lakini unapaswa kuisoma telepathy vizuri i see!
inatanuka zaidi ya hapo i see!Mimi ni shahidi wa hilo!
 
Sijui wengine watalijibu vipi hili swali lako, lakini mimi kwangu "kupenda" ni kupenda na "kutamani" ni kutamini! Kipi kinatangulia? Hii inategema maana kuna uwezekano wa kumpenda mtu bila "kumtamani" na kumtamani mtu bila "kumpenda"! Ukipita sehemu ambayo wako wadada wanajiuza unaweza kuwaona ni namna gani wamejitengeneza kuvutia soko mpaka kufikia hatua ya kutamanisha. Wateja wa watu hawa ni simply watu waliotamani na siyo kupenda! Siamini kama kuna mtu anaweza kumpenda dada poa ktk hali ya kawaida! Ila sikatai kuwa mara chache, tamaa huleta kupenda!

Ktk kufafanua hili, inawezakana kabisa ukampenda mtu na usimtamani! Kuna wangapi ofisini kwako au nyumbani kwako ambao unawapenda kwa jinsi walivyo na heshima au wanavyofanya kazi kwa bidii au wanavyojitahidi darasani? Umeshafikiria kuwatamani? Na kama ni hivyo unaweza kuwatamani wangapi?

Na kuongezea, kutamani hufanyika kwa muda mfupi. Unatamani kitu/mtu akimpata basi, huna shida naye tena! Kumpenda mtu ni kwa muda mrefu. Ktk hali yeyote ile aliyenaye mhusika, unaweza ukampenda na kadiri mnavyoendelea kushirikia ndivyo vivyo upendo unapozidi. Even hapa JF, mimi kuna watu nawapenda simply kwa kusoma michango yao .....! Sijui mwenzangu!!!

Kweli mkuu... Ila mtu anayetamanisha anastand chance kubwa zaidi ya kupendwa, kuliko asiyetamanisha...
 
tusihame mada lakini unapaswa kuisoma telepathy vizuri i see!
inatanuka zaidi ya hapo i see!Mimi ni shahidi wa hilo!

Siku nyingine tuanzishe mada ya telepathy. Mimi nina mifano mingi sana ya hii kitu inayoshangaza...
 
Si kila avatar anayo weka mtu inamuwakilisha, binadamu tuko complex sana hasa inapokuja kumsoma mtu, kuna mwingine anaweka avatar fulan ili msiweze kumfahamu vyema na ndio maana watu wano pendana kwa avatar wanaweza kukimbiana kabisa!

Bora umesema ukweli Malkia wa Sheba ni wadada wachache sana wanaoweza kukubali uzuri wa Mwanamke mwenzake na ni kweli kuwa avarter ndio inayomuonesha mtu alivyo
 
Last edited by a moderator:
Preta mamito, unadhani.
Ndio maana utakuta siku hizi mtu flani akoment uzi wa flani wakati zamani alikuwa mstari wa mbele.
Washabambana engo hao.
Ila Dah!
Kupenda throuph Avatar!
Na Avatar ya Ritz jee!

Mi napenda hiyo staili ya kucheza ya avatar yako...lol
 
Hizi avator mbili zinanifanya nivutiwe na hawa watu, kwa sababu nahisi kwamba hawa wamebobea kwenye maadili mazuri ya mwanamke wa kitanzania na kiafrica kwa ujumla.

avatar32630_4.gif
avatar39766_9.gif


Code:
Kaunga , kongosho

Hapo ndipo avatar inapodanganya. Zaidi ya ngozi nyeusi na nywele kipilipili; there little of anything in Kaunga halisi. Yaani ni mparaganyiko wa kupenda aliyenizaa tu!
 
Prisoner 46664 nambie mkuu kwa nini unasema wana 'issues'?
Hebu dadavua bana acha kubania...najua lara 1 angependa pia kusikia....chezeya avatar ya amber rose!

Mkuu SnowBall..salaam
An interesting topic indeed..
Uzoefu wangu mpaka sasa umenionesha kuwa mtu hawezi kufall in true love namna hii..
na take it from me, 95% ya watu wanaotafuta wapenzi kwa njia hii huwa wana 'issues'
(no offence!, its my experience)..ila otherwise mtu angeweza kupata mtu tu huko duniani ki-kawaida..
 
Last edited by a moderator:
Si kila avatar anayo weka mtu inamuwakilisha, binadamu tuko complex sana hasa inapokuja kumsoma mtu, kuna mwingine anaweka avatar fulan ili msiweze kumfahamu vyema na ndio maana watu wano pendana kwa avatar wanaweza kukimbiana kabisa!

Itakuwa poa sana watu waliokwisha kumbwa na masakata ya kupenda avatar wakafungua kwenye uzi huu...
 
I am humbled my dear..i never knew that before...

Of course tunawafikiria, anyway some of us are conscious on what we use na jinsi watu watakavyoitafsiri. Some don't care and some don't think kihivyo.
Asante kwa compliment SnowBall, na wewe ni kati ya watu MMU ninaowakubali sana na kuwategemea.
 
AshaDii umeongea mambo mazito saaana...ni kweli kama kuna watu wamekusoma ulivyotaka usomeke basi watakuwa wameshiba kwa nasaha zako...Hapo nilipobold ndipo nimeshindwa kukusoma katikati ya mistari..please kama hutajali hebu rudia kwa faida ya mimi mdogo wako na wengine ambao wangependa wafaidike na nasaha zako.....

Sijasoma post zote za thread... Nataka nizisome baadae for naona kama wengi wamechangia ya msingi hivyo waweza kuta kuna mtu kaligusia kwa upana zaidi.

Hapa nilikuwa na maana hii... Tupo mtandaoni... Na mtandaoni kwa wengi ambao ni wenyeji wa kutumia mitandao wana nafasi kubwa sana ya kuchagua namna ipi wasomeke na members. Sometimes people are not who they say they are. Na hivyo yastahili members kuwa makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom