Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,838
- 37,457
hii ipo sana humu ndani........ila watu wapunguze kujishaua........unakuta mtu kelele mingi kumbe kapuku......
btw......mambo vipi.....pasaka hiyo hapo ujue.........
Haaa!!
Preta ulivyojibu kwa uhakika mpenzi.
Ila kweli ngoja nami nimuulize Yericko Nyerere kwa nini hakoment uzi wangu siku hzi.
Mie ni muhanga ati, bonge la Avatar, simu na chartn nyingi za mapenzi mpaka night kali, siku ya siku, kumbe ni Boss wangu Manispaa,ila nashukuru,ananisaidia sana maswala ya kikazi japo sijaanzisha nae mahusiano.
ID hz, we acha tu.
Mambo Poa,Pasaka bhana nina mpango wa kuja huko Arusha kwa wakwe.
Nipokeeni tu.
Last edited by a moderator: