Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

baadhi ya avatar huwa zinazungumza sana tu haihitaj akil ya darasani ili kujua kama muhusika anasadifu avatar yake kwa baadhi ya watu.
mfano: huthitaj hata akili ya darasani kujua kwamba akili ya Kongosho iko mbele kama mshale na kwamba hajui kumwogopa mtu na ndio maana hata njian yeye anataka kunyonya.

angalia avatar ya King'asti alivyo tu unajua huyu ni mtu wa kazi kwake hakuna masihara na ukicheza anaweza kukuchapa mkono.
angalia avatar ya FP alivyo unapata picha kabisa ni mtu decent na asiyependa makuu.
angalia avatar ya Madame B yaani inaonyesha kabisa na yeye yuko hivyo wale wa jukwaa lile watanielewa(joke)
angalia avatar ya Mtambuzi imekaa kipaparazzi sana na ndivyo alivyo.

hawa ni wachache tu ambao nimejaribu kuonyesha avatar zao zinavyowasadifu.

mtu kama Kiranga yaani utajua tu ni complicator.

Napenda avatar yako na unavyoandika. Halafu kuna kitu kingine zaidi
 
Last edited by a moderator:
Yanni siku ya kwanza nilivyoona avatar hiyo mwl snowhite nilipata picha kabisa huyu mwl wangu ukibahatika kuingia chumbani vingine anaweza akasahau lakini si uasafi wa kitanda chake!
Plllllz mwl snowhite usini sue!

hebu niambie nione kama huwa nafundisha au nacheza madaangi (cc @Fp) tu darasani kweni
 
Last edited by a moderator:
Ukifatilia mara nyingi wanawake wengi wana sauti nzuri lakini sivyo walivyo! Sasa kwa wale wanaopenda kupitia sauti unaweza ukapenda sauti ukidhani naye ni mzuri kumbe sivyo ni sauti imekudanganya!

Kwa mfano...
 
Sadifu basi na ya kwangu....

baadhi ya avatar huwa zinazungumza sana tu haihitaj akil ya darasani ili kujua kama muhusika anasadifu avatar yake kwa baadhi ya watu.
mfano: huthitaj hata akili ya darasani kujua kwamba akili ya Kongosho iko mbele kama mshale na kwamba hajui kumwogopa mtu na ndio maana hata njian yeye anataka kunyonya.

angalia avatar ya King'asti alivyo tu unajua huyu ni mtu wa kazi kwake hakuna masihara na ukicheza anaweza kukuchapa mkono.
angalia avatar ya FP alivyo unapata picha kabisa ni mtu decent na asiyependa makuu.
angalia avatar ya Madame B yaani inaonyesha kabisa na yeye yuko hivyo wale wa jukwaa lile watanielewa(joke)
angalia avatar ya Mtambuzi imekaa kipaparazzi sana na ndivyo alivyo.

hawa ni wachache tu ambao nimejaribu kuonyesha avatar zao zinavyowasadifu.

mtu kama Kiranga yaani utajua tu ni complicator.
 
Ukifatilia mara nyingi wanawake wengi wana sauti nzuri lakini sivyo walivyo! Sasa kwa wale wanaopenda kupitia sauti unaweza ukapenda sauti ukidhani naye ni mzuri kumbe sivyo ni sauti imekudanganya!

Kwa mfano.
 
THEDEALER ndio nataka kujua mkuu..hivi hizi 'avatars' zetu zinazungumza kitu flani kutuhusu???
Ina maana zinaweza kupeleka ujumbe flani kwa mhusika???

Avatar ni kiwakilishi cha picha/ identity ya mhusika. Kwa namna moja au nyingine, mara nyingi, huwa Avatar inazungumza kitu kuhusu mwenye nayo..mfano picha yangu mimi inamaana napenda Reggae music hususani mziki wa Bob. Sasa whether info inayotolewa na avatar inakuwa sufficient enough kumtosheleza mtu apende au kutamani hilo ni swala binafsi, linalomhusu mtu binafsi, na kwahiyo kumuona mzembe au kumshangaa ni kum-judge tu..

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha
mwl hapo kwa Kiranga umenimechekesha sanaaaaa! Me huyu nimekuwa niki mjudge kupitia comments(sorry off- topic kidogo)

baadhi ya avatar huwa zinazungumza sana tu haihitaj akil ya darasani ili kujua kama muhusika anasadifu avatar yake kwa baadhi ya watu.
mfano: huthitaj hata akili ya darasani kujua kwamba akili ya Kongosho iko mbele kama mshale na kwamba hajui kumwogopa mtu na ndio maana hata njian yeye anataka kunyonya.

angalia avatar ya King'asti alivyo tu unajua huyu ni mtu wa kazi kwake hakuna masihara na ukicheza anaweza kukuchapa mkono.
angalia avatar ya FP alivyo unapata picha kabisa ni mtu decent na asiyependa makuu.
angalia avatar ya Madame B yaani inaonyesha kabisa na yeye yuko hivyo wale wa jukwaa lile watanielewa(joke)
angalia avatar ya Mtambuzi imekaa kipaparazzi sana na ndivyo alivyo.

hawa ni wachache tu ambao nimejaribu kuonyesha avatar zao zinavyowasadifu.

mtu kama Kiranga yaani utajua tu ni complicator.
 
Last edited by a moderator:
Duh!..asante mwalimu wangu gfsonwin kwa ushauri wako..
Hapo nilipobold huoni kwamba umekuwa 'too simplistic' dadaangu...are you sure with that fact????

yap am sure.

kumbuka kwamba nilisema baadhi yao. and to me kuna avatar ambazo zina potray uhusika halisi wa mwenye nayo mfano Kongosho avatar yake inaonyesha tu kwamba huyu akili zake ziko resi na haziogopi kitu, angalia avatar ya King'asti inaonyesha wazi kwamba hili ni jembe na kwamba anasimama hata nafasi ya watu 5 mtu akizubaa.
tizama ya FP inaonyesha ni mtu decent sana na ndivyo alivyo. angalia ya pacha wako snowhite inaonyesha ni mtu anayependa sana kufanya nyumba kuwa nyumbani. hata ya Madame B inaonyesha jinsi alivyo mtundu
 
Last edited by a moderator:
Mie je?.....

Mashalah ingawa mimni ni mdada mwenzako lakini nimeipenda Avarter yako na imejionesha wazi hata ulivyochangia ni mtu wa hekima uliye katika Ndoa Imara
Kwangu naamini Avarter huwa inam-discribe mtu alivyo
Asante sana shosti wangu
mmmmh! asante sana kwa compliment nzuri which i dont think i deserve lol!
BTW why calin ur self queen of sheba?? will you mind if i tell you to change it??
lia spiritual implication mbaya sana.
 
yap am sure.

kumbuka kwamba nilisema baadhi yao. and to me kuna avatar ambazo zina potray uhusika halisi wa mwenye nayo mfano Kongosho avatar yake inaonyesha tu kwamba huyu akili zake ziko resi na haziogopi kitu, angalia avatar ya King'asti inaonyesha wazi kwamba hili ni jembe na kwamba anasimama hata nafasi ya watu 5 mtu akizubaa.
tizama ya FP inaonyesha ni mtu decent sana na ndivyo alivyo. angalia ya pacha wako snowhite inaonyesha ni mtu anayependa sana kufanya nyumba kuwa nyumbani. hata ya Madame B inaonyesha jinsi alivyo mtundu

Santeeeee...!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom