Hahaha..... ni kweli upande wa ufundi waliimalika aisee.Yule na mamaake wapo bench la ufundi kazi yao kama ya cc:mshana jr
prof ndumilakuwiliKipepe
Bhangi chakulaHizi mechi nili bet sana enzi hizo
Yaani ulianza kubet kwenye mechi za sani??Hizi mechi nili bet sana enzi hizo
Namuona madenge hapo ahhahaah
Alikuwa kipa alifanya kosa moja baada ndumilakuwili kumwambia angalia mpira huo akimaanisha audake sasa yeye lodilofa akaacha kuudaka akaanza kuuangalia mwishoe mpira ukaingia wavuni likawa goli wamefungwa. Kilichofatia hapo ikabidi wachezaji wenzie wa born town wamshushie kipigo. Yeye alijitetea kwamba ameambiwa aungalie mpira sio audake.
Hizi mechi nili bet sana enzi hizo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji13]namkumbuka mapung'o alishawshi kufika gorini na mpira baada ya kufunga akaacha mpira na kuanza kulia.
Wamiliki wa hayo magazeti wakiamua kurejea kuyachapisha kama archives watapata fedha nyingi.
Asante mleta uzi.