Golden Boy Mapung'o! Aliwahi kuichezea Real Madrid akiwa peku![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapung'o
Golden Boy Mapung'o! Aliwahi kuichezea Real Madrid akiwa peku![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapung'o
hiki kikosi kilikuwa kwenye jarida la sani..Mapung'o
Manyerere Jackton washauri hawa jamaa wafanye reproduction yahizo nakala najua utakuwa unawafahamu huko kwenye tasniaWamiliki wa hayo magazeti wakiamua kurejea kuyachapisha kama archives watapata fedha nyingi.
Asante mleta uzi.
hapo ukimaliza upande mechi unahamia kwenye pambano LA zena na betina ... balaa lake si kitotoMkuu Sani wamejaribu kurudi hapa karibuni lakini imeshindikana, sidhani kama wameendelea kutoa.
Unajua tunaozielewa hizi story ni sisi Old School ambao kwa sababu ya majukumu kusema upate muda wa kununua gazeti la katuni ni kazi sana, utakuta tunaishia kushangilia tukiona thread kama hivi tunakumbushana imetosha.
Na sasa hivi ulimwengu wa digital katuni watu wanazisoma FB, JF, WhatsApp na kwingineko kwenye mitandao.
Alikuwa mi M-born Town yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi Lodi Lofa not Nkapa alikuwaga bush Star?
hapo ukimaliza upande mechi unahamia kwenye pambano LA zena na betina ... balaa lake si kitoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] The golden boy....wacha kabisa weka mbali na kina pimbi huyo mtuMapung'o
Pitieni na huh Uzi mpate mengi zaidi.Hahahaha!, enzi hizo school bus tunaiona kwenye movie Kama"war bus",
Umezipata wapi mkuu,nami nikajikumbushe kidogo ......... (yaani kama vipi niwekee link niingie)
Zamani ilikua raha tupu
Sana huyu mwandishi wa vile vijarida (magazeti) alienda wapi? alikuwa mbunifu balaa. halafu watu tulivyokuwa tunapendana mmoja akinunua mnaazimana maana wengine tulikuwa hatuna kitu, utakuta gazeti limechoka lakini unakaukia kucheka.
Nimefurahi sana, nimekumbuka mbali sana...nilivosoma comments mbili tatu nikaamua niweke na Radio Tanzania , duh nikarudi mbali sana ...kama kuna mwingine anazo zingine aweke
kuna kaisi nyongise na zoba pia old is Gold
Hivi hizo nakala kuna sehemu zipo na mwenye hilo jarida yupo au ndo ishakuwa urithi
Umeona hapo chini alie vaa kofia na suspender ndio bob mazishi angalia hilo kwanja alilokula mzee meko hiyo ndio uruguay style.
Sikuwa na maana kuwa yupo kikosini hapo, just kukumbukia tuMnachanganya mkuu mapung'o alikuwaga kwenye jarida la bongo humu staa wao alikuwa mzee meko na shati lake la maua anapiga vyenga golini kwake hadi kwa wapinzani
Hataaaariiinjomba nchumali
Hahahaha!, soka ka siku hizi limekiwa soft sana, enzi hizo mabeki watata ndio wanapata namba!Umeona hapo chini alie vaa kofia na suspender ndio bob mazishi angalia hilo kwanja alilokula mzee meko hiyo ndio uruguay style.
Yaah kuna picha moja imeandikwa kutoka maktaba inamuonyesha almarhumu mohamed "machela "kajole alikuwa beki wa simba kafyeka nyasi mbele ya mrussia mmoja nyasi zimeruka juu yule kishoka kabaki kushangaa ilikuwa mechi ya kirafiki kisha muandishi pale juu kaandika "NANI KAZISAHAU VURUMAI ZA KAJOLE ?zamani forward khatari alikuwa anachezewa rafu anaumia kisha beki analia anaulizwa unalia nini? Beki anajibu nimemkosa! waqt huo forward anabebwa na machela kupelekwa nje.Hahahaha!, soka ka siku hizi limekiwa soft sana, enzi hizo mabeki watata ndio wanapata namba!
Sio kweli. Mapung'o alikuwa gazeti la bongo.Namuona hapo Golden boy aka Mapungo