Hahahaha huyo Nilikua nimemsahau Aisee[emoji13]namkumbuka mapung'o alishawshi kufika gorini na mpira baada ya kufunga akaacha mpira na kuanza kulia.
Hahaha.... huyo alikua timu kapteni.Hahahaha huyo Nilikua nimemsahau Aisee
bush starbkocha wao alikuwa maza aje betina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha Comredi K, I mean Comredi Kipepe not Kinana, Madenge, Lodi Lofa Hahahaha Bush Stars wa ukweli Hao!!! Nawakubali saaaana
Mbona kama vile yupo hapo pichani na Kofia lake???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi Lodi Lofa not Nkapa alikuwaga bush Star?
Lkn Lofa alikuwaga town kama nakumbukaMbona kama vile yupo hapo pichani na Kofia lake???
Haha hilo jina lilinitoka, ila huyu alikuwa kichaaaaa sana..[emoji13]namkumbuka mapung'o alishawshi kufika gorini na mpira baada ya kufunga akaacha mpira na kuanza kulia.
Kweli betina sijamuona itakua kaenda kumtafuta zena kwa ajiri ya mpambano lao la ngumiHaha hilo jina lilinitoka, ila huyu alikuwa kichaaaaa sana..
Sijamuona yule mama mwembambaaaa (betina) alikuwa anapataga namba huyu.
Ha ha ha.. Umenikumbusha... mapung'o alikuwa anachezea rafu mnoMapung'o