NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
Mpira wao Kama shaulin soka
Kobelo alikuwa havai shati kweli?Mnachanganya mkuu mapung'o alikuwaga kwenye jarida la bongo humu staa wao alikuwa mzee meko na shati lake la maua anapiga vyenga golini kwake hadi kwa wapinzani
Lodi lofa alikuwa anachezea town star, hapo kuna kipepe, golikipa madenge, mapung'o mzee kobelo wengine nimewasahauHapo kwa walio simama kutokea kushoto
Namuona Komled kipepe na Lodilofa
Kwa walio mstari wa mchini namuona Madenge akiwa anatoa tabasamu zuri kabisa..
Sana huyu mwandishi wa vile vijarida (magazeti) alienda wapi? alikuwa mbunifu balaa. halafu watu tulivyokuwa tunapendana mmoja akinunua mnaazimana maana wengine tulikuwa hatuna kitu, utakuta gazeti limechoka lakini unakaukia kucheka.Daa maisha zamani yalikuwa matamu sn
Umenikumbusha kuna siku nilikua naongea na mwanangu hawa wa maskuli busi nikamwambia akileta mchezo leo ni uruguay uruguay tu akabaki anashangaa hilo neno enzi yetu lilikuwa maarufu, fujo, zali nk.Pia alikuwepo bob mazishi huyu alikuwa anacheza rafu sana (Uruguay )
Mkuu huyu ndie alikua kiungo mkata umeme kama Coquelin pale Arsenal teh teh tehPia alikuwepo bob mazishi huyu alikuwa anacheza rafu sana (Uruguay )
John kaduma. Alisha fariki alikuwa mchoraji wa kiwango cha juu.Sana huyu mwandishi wa vile vijarida (magazeti) alienda wapi? alikuwa mbunifu balaa. halafu watu tulivyokuwa tunapendana mmoja akinunua mnaazimana maana wengine tulikuwa hatuna kitu, utakuta gazeti limechoka lakini unakaukia kucheka.
Kofia flan hivi na sun goggles flan kauzu sana alimtapeli mzee meko kwa kumuuzia trakta ilikuwa bonge la msalaMkuu huyu ndie alikua kiungo mkata umeme kama Coquelin pale Arsenal teh teh teh
Yaah waqt huo ukiambiwa jamaa wanacheza Uruguay ujue pagumu hapo zamani raha sana.Umenikumbusha kuna siku nilikua naongea na mwanangu hawa wa maskuli busi nikamwambia akileta mchezo leo ni uruguay uruguay tu akabaki anashangaa hilo neno enzi yetu lilikuwa maarufu, fujo, zali nk.