Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Daaa teknolojia ina madhara yake pia kama haya ya kupotea kwa kina Meko
 
Alikuwa kipa alifanya kosa moja baada ndumilakuwili kumwambia angalia mpira huo akimaanisha audake sasa yeye lodilofa akaacha kuudaka akaanza kuuangalia mwishoe mpira ukaingia wavuni likawa goli wamefungwa. Kilichofatia hapo ikabidi wachezaji wenzie wa born town wamshushie kipigo. Yeye alijitetea kwamba ameambiwa aungalie mpira sio audake.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimekumbuka PROF NDUMILAKUWILI aliwapeleka watu kibao hoteli ya kifahari wakitegemea atalipa bill. Tena alikuwa kanyuka suti kaalii utadhani bonge la Boss. Halafu akawaacha solemba. Sikumbuki hata kilichofuata maana ilikuwa mpaka toleo lijalo.
 
Hhaaaa
 
Nilikuwa chalii lakini nakumbuka hiyo timu ilikuwa na mchezaji matata sana jina lake MAPUNG'O
 
watoto wa "school bus" watatoka kapa hapa
347128b5f7dcc74095079c09ae88dd03.jpg

Kipepe, Kobelo, ndondocha, mzee meko, madenge, mgosi agosigwa, kapelo, sharubu, kaisi,Kizibao,.... Mabush Stars kutoja Jarida la Sani
 
Back
Top Bottom