Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Unaweza kumtambua mchezaji gani?

watoto wa "school bus" watatoka kapa hapa
347128b5f7dcc74095079c09ae88dd03.jpg
Hii timu ilikuwa na mazoezi makali Sana chini ya mama betina.
Hilo shati la mzee kobelo lina historia yake.
 
Komredi kipepe. Ndumi la Kiwili.madenge.lodilofa. Hawa wengine wamenitoka
 
Hapo kwa walio simama kutokea kushoto

Namuona Komled kipepe na Lodilofa

Kwa walio mstari wa mchini namuona Madenge akiwa anatoa tabasamu zuri kabisa..
Lodi lofa alikuwa WA town mkuu Na usafiri wake pendwa
 
Back
Top Bottom