Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Hawa jamaa wangemsajili na Pangalashaba na mwanae ufudu ingenoga sana japo alikua hayuko kwenye dunia ya Sani..
 
Lodi lofa alikuwa WA town mkuu Na usafiri wake pendwa
Alikuwa kipa alifanya kosa moja baada ndumilakuwili kumwambia angalia mpira huo akimaanisha audake sasa yeye lodilofa akaacha kuudaka akaanza kuuangalia mwishoe mpira ukaingia wavuni likawa goli wamefungwa. Kilichofatia hapo ikabidi wachezaji wenzie wa born town wamshushie kipigo. Yeye alijitetea kwamba ameambiwa aungalie mpira sio audake.
 
Hahahaha!, enzi hizo school bus tunaiona kwenye movie Kama"war bus",
 
wa katuni maarufu ya chapombe sokomoko kwenye gazeti la sani.jpg
 
Back
Top Bottom