Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Unaweza kumtambua mchezaji gani?

Sub mapung'o ilikua lazima akuweke maji ya jioni a.k.a dakika za lala salama
 
hivi kipi kiliyapata magazeti yetu pendwa SANI,BONGO na TABASAMU nilikuwa mdogo sana enzi hizo alafu naish mkoani but nilikuwa nahakikisha napata hizo copy kwa gharama yoyote.Huwa nikirudi nyumbani hasa nyakati za likizo huwa najikumbushia hizo gazeti,coz nilihakikisha natunza copies nyingi, nilipenda haya magazeti kuliko kula.
 
Ukuaji wa Teknolojia uliwaacha nyuma kwa kasi..!
 
Nina project ya kutengeneza katuni za kucheza kwa kutumia haya jamaa kama walivyokua
 
Back
Top Bottom