Kama chumba kipo sealed madhubuti unaweza kuwasha na kuzima Ila Kama chumba ni chekeche maana yake ukizima tu joto la nje linaingia ndani , hapa itabidi utegemee sana thermostat ya ac ,Hivi AC si unawasha na kuzima? Unawezaje kulala na AC kuanzia saa nne hadi asubuhi?
Na Mie ndio hiyo Niko alone friji , feni security lights ,AC sigusi na pasi kila siku asubuhi.Familia ya watu wa 4, tv on almost 24 hrs, fridge haizimwi, pasi mara kadhaa, kucharge simu all the time.
Tuna average units 3.5 kwa siku.
Nyingi sana. Unatumia nn zaidi ya taa, friji na pasi pengine na kuchemsha majiMm na familia yangu 4 tu kwa siku
Mrembo Instagram na YouTube unaangalia kwa kutumia microwave?!
Inawezakana kutumia umeme huo, nina familia ya watu 3 kwa mwezi natumia umeme wa 5000 sawa na unit 41 nawasha friji, feni 3, tv 2, rice cooker, brender, pump ya maji, pasi na vacuume cleaner, natumia hizo unit 41 confortably hadi mwezi mwingine, maji natumia unit 3 hadi 4 kwa mweziHuyu
Huyu jamaa atakua anataa tuu
10000 ni pesa nyingi sanaCha muhimu ile si zaidi ya 10K kwa siku!
DuhKule kijijini kwetu Umeme wa 10,000=75 unit,unakaa kama miezi 6 na chenji
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Yah najua haitafika sababu 5,000 ni units 14. Ina maana kwa Economical AC unit haiwez maliza hizo units.10000 ni pesa nyingi sana
Utani uwo yani utumie frige na vitu vingine alafu utumie unit 1 au 2 kwa siku.si utani uwo ndugu. 3 au 4 hapo earth ipo vizuri kabisa iyoKakague earthing system yako huenda kuna shida, kwa vifaa hivyo unatakiwa kutumia angalau 1 au 2
Du! Iyo itakuwa AC au jokofu la muhimbili la kuifadhi maiti12,000BTU ni roughly 3.5kW = 3500W, kwa power ya namna hiyo kama unatumia hiyo AC 10hrs mfulilizo maana yake ni kwamba 3500W X 10hrs = 35,000Whr sawa na 35kWh. Unit moja ni 1kWh hivyo kwa masaa kumi itatumia 35Units. Hapo sijaweka factor ya size ya room which is also very important.
Kama nimekosea nirekebishwe fastaaa!
Labda zile AC za kutoboa ukuta ila sio izi za kisasaBinafsi sina uwezo wa kutumia AC kwa sababu wengi niliongea nao wanaomiliki AC wanasema umeme wa 10,000 (28+units)kwa siku hautoshi, especially kama unatumia nonstop.
Umeshawahi kuishi nyumba yenye AC na kununua umeme wake? Labda unaweza kuwa na practical experience.
Mkuu tupe experience yako!!300k Kwa mwezi hio boss! Hapo kama nyumba ya kupanga si balaa?!