RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,817
- 129,690
Sina AC napata ujuzi hapa hapa. Ila kwa ninavyosoma kuna hatari ya kuweka ac ikawa pambo.Mkuu tupe experience yako!!
Sina AC napata ujuzi hapa hapa. Ila kwa ninavyosoma kuna hatari ya kuweka ac ikawa pambo.Mkuu tupe experience yako!!
Yaani umeme wangu wa wiki nzima hautoshi kuwasha AC siku moja! Hapo sipawezi nitaiweka kama pamboBinafsi sina uwezo wa kutumia AC kwa sababu wengi niliongea nao wanaomiliki AC wanasema umeme wa 10,000 (28+units)kwa siku hautoshi, especially kama unatumia nonstop.
Umeshawahi kuishi nyumba yenye AC na kununua umeme wake? Labda unaweza kuwa na practical experience.
Haha, ndio hivyo mkuu. Unajikuna unapofika..Yaani umeme wangu wa wiki nzima hautoshi kuwasha AC siku moja! Hapo sipawezi nitaiweka kama pambo
Una watani wa unit 5.6 kwa siku na unatumia na AC pia. Mbona wengine wanatuambia AC peke yake inaweza kuondoka na unit zaidi ya 10?Unit 168/30
AC
Freezer
Fridge
Fan
AC naiwasha muda mchache sana chumba kikipata ule ubaridi wake basi na huwa nawasha wakati tunataka kulala sio full night AC iko oneUna watani wa unit 5.6 kwa siku na unatumia na AC pia. Mbona wengine wanatuambia AC peke yake inaweza kuondoka na unit zaidi ya 10?
Friji halizimwiii 24hrs hlf atumie unit 1/2 kwelii??Kakague earthing system yako huenda kuna shida, kwa vifaa hivyo unatakiwa kutumia angalau 1 au 2
Microwave,,Ceiling fan, freezer, pressure cooker, rice cooker,washing machine, deki,= 3.4 KWHR/dayUnatumia yuniti ngapi za LUKU kwa siku?
Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
Unawasha masaa mangapi AC? Na kama hutojali AC yako ina ukubwa kiasi gani?AC naiwasha muda mchache sana chumba kikipata ule ubaridi wake basi na huwa nawasha wakati tunataka kulala sio full night AC iko one
Freezer, fridge na AC lakini units 168 tu? Hizo fridge na freezer zaweza kuwa hizi za kisasa(energy savers, chini ya 100Watts) na pia AC hutumii mda mrefu. Otherwise hapo ungepiga zaidi ya 10units per day.Unit 168/30
AC
Freezer
Fridge
Fan
Usije ukajikoroga ukanunua AC yenye BTU 9000 hii ni ndogo sana imelenga vyumba vidogo kama chooni mara nyingi ni ukubwa wa vyumba vya mita za mraba 6 ( yaani mita 2 kwa mita 3 na urefu wa ukuta mpaka "ceiling board" mita 3).Ila kwa BTU 9000 si itakula umeme mchache pia?
Kwamba ni wahuni wahuni wanaforge digits?Usije ukajikoroga ukanunua AC yenye BTU 9000 hii ni ndogo sana imelenga vyumba vidogo kama chooni mara nyingi ni ukubwa wa vyumba vya mita za mraba 6 ( yaani mita 2 kwa mita 3 na urefu wa ukuta mpaka "ceiling board" mita 3).
Kwa wastani AC standard kwa vyumbani unapaswa angalau uweke yenye BTU 12000 kwa chumba chenye ukubwa wa mita za mraba 9 mpaka 10 kwa matokeo mazuri. Hii kwa wastani hutumia umeme wa units 4 mpaka 7 kwa masaa 8. Hapa nimeweka kwa AC pekee sijamuisha na vifaa vingine ulivyonavyo.
Samsung mara nyingi zipo effective ukilinganisha na kampuni zingine kwa aina ya AC zinazouzwa bara la Afrika. Nimegundua kuna makampuni mengine yanaonyesha AC ina uwezo wa BTU 12000 ila uhalisia unakuwa ni BTU 9000.
1.9 per dayUnatumia yuniti ngapi za LUKU kwa siku?
Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
kabisa Freezer na friji tena huwa kuna wakati naona kama freezer linakula umeme mkubwa sana ................ AC aisee huwa naitumia kwa machale sana nawasha kama 1hr tukitaka kulala nazima maana unakuta kuna ubaridi wa kutosha kama jana haikutumika hali ya hewa ilikuwa nzuri.Freezer, fridge na AC lakini units 168 tu? Hizo fridge na freezer zaweza kuwa hizi za kisasa(energy savers, chini ya 100Watts) na pia AC hutumii mda mrefu. Otherwise hapo ungepiga zaidi ya 10units per day.