fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,264
una tarrif ipi?Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?
Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
una tarrif ipi?Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?
Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
una tarrif ipi?Mi nilinunua umeme wa buku 10 ukakaa miezi miwili.
Juzi ukaisha. Nikaweka wa buku 2 ile Alhamisi,nadhaniutakaa week 2.
Pasi, feni, chaja, PC, taa moja mbili.
Uwa sikai ghetto mchana.
kabla ya yote ni lazima ujue mita uliyoweka ni ya tarrif ipiAh sema hapo sio mbaya mkuu kama madude yote unayo hayo. Mi nataka nijue AC inakula unit ngapi kwa siku!
no yupo sahihi,inategemea ana tarrif ipiUna kiwanda?
basi nyie ni tarrif zeroUnit 1.5 kwa siku tupo wapangaji vyumba vitatu mimi kwangu nina tv music pas fridge japo huwa nazima wakat wa night na kuwasha wakat wa day hatushindi nyumban na wote ni bachelors nadhani hiyo ndo sabb umeme kidog unatumika
hiyo ni sawa angalia vitu vyakoUpo kama mimi, yaani mimi ni 7 au 8.
Naona kama nina matumizi makubwa sana.
natamani mtaalamu mmoja wa umeme,atoe somo kuhusu tarrif za umeme zilivyohiyo ni sawa angalia vitu vyako
Mkuu tarrif siyo shida!natamani mtaalamu mmoja wa umeme,atoe somo kuhusu tarrif za umeme zilivyo
tarrif wanakugeuzia tu online sio lazma waje kuchokonoa mita kwakokabla ya yote ni lazima ujue mita uliyoweka ni ya tarrif ipi
Alikufa??Pumzika kwa amani mtoa mada