AC ipo mkuu?Units 7.5 kwa siku
Hamtumii friji nini mkuu?Mm na familia yangu 4 tu kwa siku
Hamna AC hapo boss sema nyumba ni kubwa kiasi vyumba vya kulala vinne, mafeni yanazunguka usiku kucha vyimba vyote, taa za nje kama nane hivi kuzunguka nyumba zimawaka usiku kucha. Jifridge kubwa linaunguruma 24/7 na kupasi pasi nguo daily. Kupasha chakula kwenye microwave n sometimes kuchoma nyama kwemye electric oven.AC ipo mkuu?
Ah sema hapo sio mbaya mkuu kama madude yote unayo hayo. Mi nataka nijue AC inakula unit ngapi kwa siku!Hamna AC hapo boss sema nyumba ni kubwa kiasi vyumba vya kulala vinne, mafeni yanazunguka usiku kucha vyimba vyote, taa za nje kama nane hivi kuzunguka nyumba zimawaka usiku kucha. Jifridge kubwa linaunguruma 24/7 na kupasi pasi nguo daily. Kupasha chakula kwenye microwave n sometimes kuchoma nyama kwemye electric oven.
Mrembo Instagram na YouTube unaangalia kwa kutumia microwave?!Unit 7 kwa Siku. Instagram ndiyo inanimalizia sana bando na YouTube
Una kiwanda?Units 7.5 kwa siku
Hisense yenye 2300 watts inakula average 9 units kwa masaa 24. Inaweza zidi au kupungua kidogop kulingana na joto la kipindi hikoAh sema hapo sio mbaya mkuu kama madude yote unayo hayo. Mi nataka nijue AC inakula unit ngapi kwa siku!
Mkuu kuna haja nianzishw uzi nijibiwe zaidi. Na vipi kuhusu zile inverter types! Naona kama ni Technology ambayo inapigiwa chapuo kuwa ni energy saver.Hisense yenye 2300 watts inakula average 9 units kwa masaa 24. Inaweza zidi au kupungua kidogop kulingana na joto la kipindi hiko
Watu wangapiMm na familia yangu 4 tu kwa siku
Unit 4