Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

BTU 12000 ni 1.25hp sawa na 0.95kw,hiyo ni cooling capacity ya AC,Tukiweka factor za efficiency tuseme input power kwa AC mpya inaweza kuwa 1.2kw,equivalent to 1.2 unit per hour.factor za ukubwa wa chumba zita determine AC iwake continously kwa muda gani.so kwa wastani AC ya ukubwa huo kwa siku inaweza kula 15units sawa na sh 6000 za kitanzania=serengeti lite 3=liter 3 za petrol.so kupanga ni kuchagua,kakae bar unywe bia tatu,ukirudi ukalale kwenye joto,weka mafuta kwenye gari ukapige misele huku ukiliwazwa na AC ya gari ukirudi ulale kwenye kwenye joto au uweke umeme nyumbani wa kutosha ushinde umelala na kipupwe😂😂😂
Japokuwa bia ni tamu ila usingizi ni muhimu zaidi kwa ustawi wa afya ya mwili na akili 😁😁😁!!! Mkuu kuna AC za Solar nimeziona Ali Baba kule.
 
Zina ufanisi mzuri? Kama zipo kweli ni bora hizo. Kuna jamaa nimeongea nae ana AC kwake, anawasha mda wa kulala sa5 hivi, anaizima sa8, 4-5units zinakata.
Obvious zitakuwa na ufanisi tu, hapa Dar jua ni la uhakika 😂😂😂 na zina battery za backup kwa ajili ya usiku. Huyo AC yake haiwezi kuwa Samsung au LG
 
Dah kama ni hivyo watu wasingemiliki AC!
BTU zinaongeza tu cooling effect per room size. Ila sidhani kama zinakula umeme kiasi hiko!
Btu ni kama engine size the bigger you have the more effective it is , hatakama ni mashine kubwa kiasi gani kufunga ac kubwa kwenye room ndogo kutaifanya system ipooze kww muda mfupi sana, kww chumba cha 15 x15 average ilikuwa 9000 btu .
 
Mimi wastani wa unit 2.9 mpaka 3
Nina frdge inasoma
Rated input 122w
Rated Refregarion 176w
sielewi maana yake naomba ufafanuzi. Nawasha wastan wa masaa 14

Tv 32w masaa 6
Fan 2@ 50w each masaa 8
Taa wastan zote 48w masaa 8
 
Yah itakula umeme kidogo Ila pia ita struggle kujaza ubaridi chumbani, nikama engine ya 4 na six tu , we si mtu wa magari??
Ila ni vema kuchukua latest technology kunamdau kashauri linear compressors hizi wanazo watu wa lg na samsung Kama sikosei
Kwahio bora kutumia ya 12000 BTU tu ambayo itarun mda mfupi imeshapooza.
 
Absolutely , hata Kama itakuwa heavy Ila itakufurahisha kwa uwezo wake wa kupooza fasta
Ni kama vile gari za ford , huwa zinakuja na ac compressors kubwa sana , Ford are known for blowing cold .
Hahah mzee mmoja ana ford everest ananiambiaga kwny gari yangu a/c inapuliza mpk napata 'tonsezi' nina miaka miaka 2 siitumii sasa hivi.
 
Back
Top Bottom