[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikweli ndugu mjumbe, kwahakika hauja wahi kuniangusha
Ngoja nikutumie WhatsAppWewe ni mmoja wapo.
Kwanza nitumie picha huku kwenye page yangu ili nikifahamu kabisa na iwe rahisi kukutambua wakati tunakutana
Mimi bado inaniuma sana kuhusu yule binti wa Area D, maana sio kwa kunikimbia kule...[emoji12] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijuagi kupindisha point mh mjumbe
Ebu fanya haraka kabla sijalala hapa maana nataka nifungie funguo za WhatsApp kabatiniNgoja nikutumie WhatsApp
Pole sana mh mjumbeMimi bado inaniuma sana kuhusu yule binti wa Area D, maana sio kwa kunikimbia kule...[emoji12] [emoji23]
Mbona nishatuma 😊Ebu fanya haraka kabla sijalala hapa maana nataka nifungie funguo za WhatsApp kabatini
Mbona sijaiona...Mbona nishatuma [emoji4]
Ngoja nitume PMMbona sijaiona...
Huyu dada anapendwa sana ni ucheshi wake ama ana wasifu gani wa ndani...
Unavutiwaga nanani humu
Gud idea mkuuWewe ni mmoja wapo.
Kwanza nitumie picha huku kwenye page yangu ili nikifahamu kabisa na iwe rahisi kukutambua wakati tunakutana