Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

alafu mkuu sio wanwake wote wanawish kuolewa yaan nahis unajidanganya sana aic kuna wengn wanataka kuzaa tu
o
waliokata tamaa ndio hukimbilia kusema hivyo na hasa baada ya kuona hawafit kuwa katika ndoa. Mwanamke decent na anayejitambua anawish kuwa na familia bora atulie na mume wake walee watoto waenjoy life. sasa mtu akiwa gume gume nani atamuoa?

na mtu akishajiona gume gume lazima aseme kuwa yeye hawish kuolewa. ataolewa na nani sasa? kuna mwanaume anataka mwanamke kimeo? acheni kudanganya wenzenu bana.

kuweni tu wakweli kwamba mahusiano yakiwashinda ndio mnakimbilia kusema sio kila mwanamke anataka kuolewa, ila ukweli ndani ya nafsi zenu mnatafuta sana wanaume wa kuwaoa lakini yakibuma lazima mjifariji na kauli zenu hizo tata
 
Hivi mtu kujiweka vizuri ie kubehave vizuri and all that ni hadi ukihitaji kuolewa? Can't you just be a good person kwa sababu that's how it is supposed to be? Me mqu
Jamii za kimasikini kuolewa ni big deal, unaondoka kwenu unaondoka na shida zako umepata mume aende kukutimizia matakwa yako.

Ndiyo maana kuna hiyo dhana ya kujiweka vizuri ili upate zali la kuolewa.

Na ndiyo maana jamii zilizoendelea watu wanaweka kipaumbelea kupata elimu na uwezo wa kujitegemea zaidi, kuoa/kuolewa ni matokeo tu na sehemu muhimu ya maisha, lakini si kitu cha kuhemkia.
 
Dota unajua haya mambo sometime huwa yanatokea tu automatic with time and age. Unajikuta tu kuna maisha/vitu fulani unaviacha tu hata bila kuambiwa.

Ndoa is another stage in life ambayo inahitaji commitment fulani na userious maana ndio inapelekea familia(na familia ndio msingi wa kila kitu) i think ndio maana watu wanaipa uzito sana.
 
Mazoea mabaya sn,ukimlamba mwanaume miguu sana na akajua unahitaji ndoa kuliko hata yeye anakimbia...mda mwingine wanawake tujitathmini tumeaminishwa kupenda status ya ndoa kuliko kuenjoy mapenzi na mwanaume husika,, hata akufanyie b.sh.it unavumilia tu ili uolewe jmn..not always akikosea na ye mchane live ama km vp walk away...atleast tishia japo...na mpende mwanaume jinsi alivyo ndoa ni matokeo ya mapenzi baina yenu..tupunguze kupenda harusi tupende ndoa na kuishi kwa amani
Dada nimekupenda bure.
Wadada siku hizi wanapenda harusi na Pete vidoleni Kuliko ndoa.
 
Hivi mtu kujiweka vizuri ie kubehave vizuri and all that ni hadi ukihitaji kuolewa? Can't you just be a good person kwa sababu that's how it is supposed to be? Ndo kisa cha kupata watu fake, mtu akihitaji mume ndo anaanza kwenda kanisani, akimpata anaacha, she was just doing it for marriage, ashaipata ahangaikie nini sasa
luv u
 
waliokata tamaa ndio hukimbilia kusema hivyo na hasa baada ya kuona hawafit kuwa katika ndoa. Mwanamke decent na anayejitambua anawish kuwa na familia bora atulie na mume wake walee watoto waenjoy life. sasa mtu akiwa gume gume nani atamuoa?

na mtu akishajiona gume gume lazima aseme kuwa yeye hawish kuolewa. ataolewa na nani sasa? kuna mwanaume anataka mwanamke kimeo? acheni kudanganya wenzenu bana.

kuweni tu wakweli kwamba mahusiano yakiwashinda ndio mnakimbilia kusema sio kila mwanamke anataka kuolewa, ila ukweli ndani ya nafsi zenu mnatafuta sana wanaume wa kuwaoa lakini yakibuma lazima mjifariji na kauli zenu hizo tata

Jamii za kimasikini kuolewa ni big deal, unaondoka kwenu unaondoka na shida zako umepata mume aende kukutimizia matakwa yako.

Ndiyo maana kuna hiyo dhana ya kujiweka vizuri ili upate zali la kuolewa.

Na ndiyo maana jamii zilizoendelea watu wanaweka kipaumbelea kupata elimu na uwezo wa kujitegemea zaidi, kuoa/kuolewa ni matokeo tu na sehemu muhimu ya maisha, lakini si kitu cha kuhemkia.
 
waliokata tamaa ndio hukimbilia kusema hivyo na hasa baada ya kuona hawafit kuwa katika ndoa. Mwanamke decent na anayejitambua anawish kuwa na familia bora atulie na mume wake walee watoto waenjoy life. sasa mtu akiwa gume gume nani atamuoa?

na mtu akishajiona gume gume lazima aseme kuwa yeye hawish kuolewa. ataolewa na nani sasa? kuna mwanaume anataka mwanamke kimeo? acheni kudanganya wenzenu bana.

kuweni tu wakweli kwamba mahusiano yakiwashinda ndio mnakimbilia kusema sio kila mwanamke anataka kuolewa, ila ukweli ndani ya nafsi zenu mnatafuta sana wanaume wa kuwaoa lakini yakibuma lazima mjifariji na kauli zenu hizo tata
[emoji122] [emoji122]
 
Jamii za kimasikini kuolewa ni big deal, unaondoka kwenu unaondoka na shida zako umepata mume aende kukutimizia matakwa yako.

Ndiyo maana kuna hiyo dhana ya kujiweka vizuri ili upate zali la kuolewa.

Na ndiyo maana jamii zilizoendelea watu wanaweka kipaumbelea kupata elimu na uwezo wa kujitegemea zaidi, kuoa/kuolewa ni matokeo tu na sehemu muhimu ya maisha, lakini si kitu cha kuhemkia.
Yani tuna kazi kweli kweli. Sema tangu tukiwa watoto ndo tunaaminishwa maisha yetu ni kwa ajili ya ndoa. Unashangaa katoto kadogo kakikosea kitu kanaambiwa "wewe utakosa mume kwa hiyo tabia yako au utaachika" pheeew
 
Dota unajua haya mambo sometime huwa yanatokea tu aoutomatic with time and age. Unajikuta tu kuna maisha/vitu fulani unaviacha tu hata bila kuambiwa.

Ndoa is another stage in life ambayo inahitaji commitment fulani na userious maana ndio inapelekea familia(na familia ndio msingi wa kila kitu) i think ndio maana watu wanaipa uzito sana.
Well said mwanangu ila waelewa wachache hulitambua hilo.
 
Yani tuna kazi kweli kweli. Sema tangu tukiwa watoto ndo tunaaminishwa maisha yetu ni kwa ajili ya ndoa. Unashangaa katoto kadogo kakikosea kitu kanaambiwa "wewe utakosa mume kwa hiyo tabia yako au utaachika" pheeew
Tayari mtoto wa kike anaandaliwa kufikiri kwamba yeye yupo hapa duniani kwa ajili ya kumhudumia mwanamme.

Mfumo dume unaanza tangu utotoni.

Wengine wanakua nao hata hawaujui unakuwa kama second nature.

Hata lugha yenyewe ilivyokaa tu imekaa ki mfumodume.

Mwanamme anaoa, mwanamke anaolewa. Mwanamke hawezi kuoa!

Mwanamme anatoa talaka, mwanamke anapokea talaka.Mwanamke hawezi kutoa talaka!

Akitaka kutengana na mumewe mwanamke anamuomba mumewe talaka yake!

Hata kama Makamu wa Rais.
 
Dota unajua haya mambo sometime huwa yanatokea tu aoutomatic with time and age. Unajikuta tu kuna maisha/vitu fulani unaviacha tu hata bila kuambiwa.

Ndoa is another stage in life ambayo inahitaji commitment fulani na userious maana ndio inapelekea familia(na familia ndio msingi wa kila kitu) i think ndio maana watu wanaipa uzito sana.
Yes yatokee automatically basi, not necessarily kwa ajili ya ndoa, but kwa sababu kila siku tunajitahidi kuwa watu better zaidi ya tulivyokuwa jana. Ila jamii yetu ndo inatuharibu sometimes, no wonder tunajudge sana watu ambao wapo tofauti na sisi, kwa sababu tunahisi sisi tulivyoaminishwa ndo kutatufanya uolewe. What matters here ni mtu kuwa real, there is someone for everyone so far. Ndo maana kuna watu kwa macho yetu tuliona na kutabiri kuwa hawatoolewa Ila ndo they are living their happily ever after, watabiri tupogo tu. Kila mtu na abehave vyema kwa sababu kimaadili ndivyo inavyotakiwa, sio kwa sababu hujaolewa ndo ubehave vibaya.
 
Tayari mtoto wa kike anaandaliwa kufikiri kwamba yeye yupo hapa duniani kwa ajili ya kumhudumia mwanamme.

Mfumodume unaanza tangu utotoni.

Wengine wanakua nao hata hawaujui unakuwa kama second nature.

Hata lugha yenyewe ilivyokaa tu imekaa ki mfumodume.

Mwanamme anaoa, mwanamke anaolewa. Mwanamke hawezi kuoa!

Mwanamme anatoa talaka, mwanamke anapokea talaka.Mwanamke hawezi kutoa talaka!

Akitaka kutengana na mumewe mwanamke anamuomba mumewe talaka yake!

Hata kama Makamu wa Rais.
Inasikitisha ila ndo ukweli mchungu
 
Yani tuna kazi kweli kweli. Sema tangu tukiwa watoto ndo tunaaminishwa maisha yetu ni kwa ajili ya ndoa. Unashangaa katoto kadogo kakikosea kitu kanaambiwa "wewe utakosa mume kwa hiyo tabia yako au utaachika" pheeew
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na umri fulani ukifika ndoa bado jamii inaanza kukuangalia kwa jicho tofauti.
 
Wakijitambua mapema hawatachukua raundi tutawaoa

Back
Top Bottom