Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,910
- 183,300
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh kuna siku namsikia mmama anamwambia mtoto wa ndugu yake "ukiwa unaenda kwa fulani (babes) uwe unaenda na B, anaweza akapata mchumba katika marafiki wa fulani".