Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,618
Kwakweli ni bahati, kuna wanawake ni wife material hatari alafu walaaa ndoa wanazisikia tu, sasa kuna hao wengine alijsemea sijui nani yule humu eti "kuna 'makatapila' huwa yanaolewa hadi unawaza hivi huyu mwanaume anamfahamu vizuri huyo mwanamke".Kuna mda aymatu bahati pia ujue unaweza ukawa upo na mwanaume unavaa uhusika wa mke mpaka kwake kila kitu unafanya msikini unajitoa kwa njia zote cha kwake ni chako tena mmekaa mda mrefu mwisho wa siku unaachwa anakuja kuolewa mwingine hata mwaka hawajamaliza