Yes yatokee automatically basi, not necessarily kwa ajili ya ndoa, but kwa sababu kila siku tunajitahidi kuwa watu better zaidi ya tulivyokuwa jana. Ila jamii yetu ndo inatuharibu sometimes, no wonder tunajudge sana watu ambao wapo tofauti na sisi, kwa sababu tunahisi sisi tulivyoaminishwa ndo kutatufanya uolewe. What matters here ni mtu kuwa real, there is someone for everyone so far. Ndo maana kuna watu kwa macho yetu tuliona na kutabiri kuwa hawatoolewa Ila ndo they are living their happily ever after, watabiri tupogo tu. Kila mtu na abehave vyema kwa sababu kimaadili ndivyo inavyotakiwa, sio kwa sababu hujaolewa ndo ubehave vibaya.