Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Tatizo sio kidogo, ni mwanamke mzuri yani watangaza ndoa wapo ila kwa mdomo ule ataolewa akiwa na mkongojo, mwenyewe anavotamani ndoa
Kwa style hiyo ataishia tu kucheza kwaito za wenzie abadilike tu mdomo mdomo mdomo jamaan ni janga
 
U remind me before I got married... Would think sometimes kabla ya kuvaa nguo flani ama kuongea...hivi ningekua mke wa mtu ningevaa hivii, ningepost hii kitu kweli nk...ngekua Mrs flan ngeongea hv mhh hapana
It really helps you become a decent and better woman... Vtu mbofu mbofu unaacha kuongea..u serve people better etc...ts good kupiga picha utakuaje ktk ndoa kabla hujaingia
 
Najaribugi kufikiria tatizo hasa ni lipi hata sijalijua maana utakuta kuna wapo ktk huo mkao wa kuwa mama/mke lakin bado hawaolewi tena wakiwa na maadili mazuri.
Huku tukisema kuongeza mathna/wawili lakin kutwa kusema ohoo nani wa kuolewa upili sijui nani wa kushare mume,lakin huku mkiendelea kulilia ndoa.
Mazoea mabaya sn,ukimlamba mwanaume miguu sana na akajua unahitaji ndoa kuliko hata yeye anakimbia...mda mwingine wanawake tujitathmini tumeaminishwa kupenda status ya ndoa kuliko kuenjoy mapenzi na mwanaume husika,, hata akufanyie b.sh.it unavumilia tu ili uolewe jmn..not always akikosea na ye mchane live ama km vp walk away...atleast tishia japo...na mpende mwanaume jinsi alivyo ndoa ni matokeo ya mapenzi baina yenu..tupunguze kupenda harusi tupende ndoa na kuishi kwa amani
 
Haya mambo bwana..haijalishi uko vipi utaolewa tu akipatikana anaekufaa na kukuelewa hivyohivyo ulivyo sidhani kuna namna unaweza 'kujiweka' ili upate muoaji. Cha muhimu kuwa wewe na utapata atakayekupenda wewe kama wewe.
 
Uko sawa sipunguzi siongezi neno... hawajui kuzisoma ht nyakati zao wenyewe.. wengi hupendelea kuambiwa ' how young are you ' na sio 'how old are you'..hujiona bado bado tu...wataalamu wa kuchagua bila kuchunguza...wako bizeee na make up kila siku..huku kioo kikiendelea kuwadanganya! Make inarudisha nyuma umri japo temporary.. kustuka rika Lao limepita wanabaki kung'ang'ana na Serengeti boys wengine karibia 'wana wao wa kuwazaa'.. Mtoto anazaliwa hd anakua wewe bado unahangaika street..hd mnaanza kugombania vizee au viboys... yaani!
 
U remind me before I got married... Would think sometimes kabla ya kuvaa nguo flani ama kuongea...hivi ningekua mke wa mtu ningevaa hivii, ningepost hii kitu kweli nk...ngekua Mrs flan ngeongea hv mhh hapana
It really helps you become a decent and better woman... Vtu mbofu mbofu unaacha kuongea..u serve people better etc...ts good kupiga picha utakuaje ktk ndoa kabla hujaingia
Kuna maisha lazima yabadilike ukiwa kwenye ndoa
 
Tatizo sio kidogo, ni mwanamke mzuri yani watangaza ndoa wapo ila kwa mdomo ule ataolewa akiwa na mkongojo, mwenyewe anavotamani ndoa
Wanawake kwa midomo hatujambo...some wanahitaji msaada wa kiroho kbs... Sijuo km kuna mwanaume mpenda kelele nyumbani
 
Kuna mda aymatu bahati pia ujue unaweza ukawa upo na mwanaume unavaa uhusika wa mke mpaka kwake kila kitu unafanya msikini unajitoa kwa njia zote cha kwake ni chako tena mmekaa mda mrefu mwisho wa siku unaachwa anakuja kuolewa mwingine hata mwaka hawajamaliza
Hii najua inaumaa kwel kwel tena nakumbka mwanamke nilietarajia halafu kaolewa naona asee mpaka leo sitamanigi ndoa sema wakat wake ukifika mungu akajaalia anaefaa kuwa mke basi ntakuwa miongoni mwa wenye ndoa.
Ukwel ni kwamba sisi wanaume ni wadhaifu kwenu toka enzi na enzi sasa kigezo hiko ndo mnakitumia vibaya mnatuchezea akil zetu wee kwa kubanjuka na kila mtu bila woga mkijidai nyie wazuri hata tukiwaacha bado wwngine wanazidi kuwahonga sasa hizo ni moja ya laana zinawapata
Mkipendwa pwndekeni enyi warithi wa bibi hawaaaa
 
Back
Top Bottom