glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,019
- 1,413
Weka details zako maana nakuhakikishia...90@ ya wadada waliosoma uzi huu hawajaolewa kabla ya jua kuzama utakuwa ushapataNatafuta mke jamani.
Weka details zako maana nakuhakikishia...90@ ya wadada waliosoma uzi huu hawajaolewa kabla ya jua kuzama utakuwa ushapataNatafuta mke jamani.
I can bet wife na husband material hapa jf wamejaa ila kuna wimbi la machafuko la kukutana na wachafuzi wakawa judged wote ni chovyachovya au matapeliHahahaaa!!! Kwnini hamuachi kutusingizia malaika sie jamani!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]vipiiii [emoji15] [emoji15] kuna mtu aliomba picha yako mkuu
Ntasema nn mama D ...nakupendaaa vyenye wajuaa my kivurugeNakupenda pia Baba D wangu [emoji8]
NimemsubiriaaAutie espy ukuje basi jamaan