Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Yaan acha kabisa tena sio kupondeka tuu now waenda sagika [emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka unajihisi kuchanganyikiwa mechoka mechoka kwakweli, embu hizo jando zirudishwe na wawakumbushe kwamba ndoa is not about kukutanisha miili tuu jamani kuna mambo mengi sana mfyuuuuu nachukia mno.


I wish wangeelewa haya..
 
Top
 

Attachments

  • IMG_20170618_104123.jpg
    IMG_20170618_104123.jpg
    46.8 KB · Views: 29
Back
Top Bottom