Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Nilikuta ule uzi umefungwa jamaan hivi amejitoaje lakini bamdogo sababu ya maneno ya watu nimemmiss jaman
Bamdogo wako ana kifua cha mbu masikini. Nenda kambembeleze.
 
Nawaza hapa kama mwanamke ni ua linalosubiri nyuki wa kutua juu yake sasa ukute hilo ua limeota karibu na mashine ya kusaga sipati picha hao nyuki wa mashineni! Muachage kufananisha wanawake na vitu vya ajabu ajabu vyepesi visivyo na utashi. Uliona wapi ua likichagua nyuki?
Sawa
 
Mi mwenyewe nilicheka ile siku!! Hata siamini kama ndio kweli kaisusia jf masikini!!!
Daah yaan niliingia jf sa 5 usiku nakuta uzi una kufuli jamaan bamdogo daby urudi jamaan watu hawakujui wanakukoseshaje amani au ndio unasoma kimya kimya
 
Daah yaan niliingia jf sa 5 usiku nakuta uzi una kufuli jamaan bamdogo daby urudi jamaan watu hawakujui wanakukoseshaje amani au ndio unasoma kimya kimya
Ngoja nikacheki last seen!!
 
Back
Top Bottom