Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

[emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka unajihisi kuchanganyikiwa mechoka mechoka kwakweli, embu hizo jando zirudishwe na wawakumbushe kwamba ndoa is not about kukutanisha miili tuu jamani kuna mambo mengi sana mfyuuuuu nachukia mno.
Ney [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo sisi ni mfano wa Nyuki, yup ni kweli maana chukulia ndo unaanza maisha unampeka mke mtarajiwa Home,manakuja mnafanya mchezo wa kuonja kisha unamuuliza unakula nini ankuagiza take away, '' chips kuku" hapo hakuna mke, mke akija ghetto kwanza anachungulia jiko lipo? Sio anauliza session za kikorea
 
Hivi mtoto anapokosea si kuna wakati inabidi ukoromee kidogo ili akili imkae vizuri? Sasa mbona hawa huwa hawataki wanataka hata kama kakosea yeye wewe ujinyenyekeze ikibidi uombe na msamaha!!!
Haki kama hii ndio njia ya kwenda peponi basi ataingi Heaven Sent peke yake.
Ahhahaha mie tutakutana tu njia panda kama alivyosema mrs air. Nilivyo mkali hivi, Mungu azidi kunifundisha kunyamaza tu mmh
 
Ujumbe mzuri kwa wadada, wenye kusikia watasikia
 
Back
Top Bottom