Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,574
Mmemalizana pm unakuja kuchekea jukwaani![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kiranga kikuishe.
Jamii za kimasikini kuolewa ni big deal, unaondoka kwenu unaondoka na shida zako umepata mume aende kukutimizia matakwa yako.
Ndiyo maana kuna hiyo dhana ya kujiweka vizuri ili upate zali la kuolewa.
Na ndiyo maana jamii zilizoendelea watu wanaweka kipaumbelea kupata elimu na uwezo wa kujitegemea zaidi, kuoa/kuolewa ni matokeo tu na sehemu muhimu ya maisha, lakini si kitu cha kuhemkia.
Si umeona nimequote quotes mbili, ile ya 7sijui nini na ya alwatan, umeona zinavyopingana? Sasa ule ndio mtazamo wa wabongo wengi. Yaani hata uwe na mafanikio bado watauliza "hivi kaolewa" maana mafanikio ya mwanamke ni pamoja na hilo.
Aisee hilo neno limenichekesha.....mm hilo la kuvaa mawigi lilikuwa ni moja ya katazo langu kwa mama yeyooo ila asuke tuu anavyojua yeye kwa gharama yoyote ila mawigi Hapana... nashukuru Mungu alinielewa. leo hii nae anawashangaa wanao yavaaKuna binti nlitaka nimuoe nkabadilisha mawazo sababu hataki kuacha kuvaa makatani kichwani
Basi mtakutana wote channel hazishikiHehe me mwenyewe chenga kama yeye
UNATAKA KUOLEWA? UMEJIPANGAAA?
NIMEIPENDA HII WADADA WENZANGU.
Akina Dada Wengi tunapenda Sana Kuolewa; Lakini Ni Wachache Sana Wanajua Namna Ya Kukaa MKAO WA KUOLEWA, Na Pia Namna Ya Kuchambua Kati Ya MWANAUME MUOAJI NA MWANAUME MUONJAJI!
Maua Yana Tabia Ya KUJIFUNGA, Lakini Yanajua Pia Muda Sahihi Wa KUCHANUA Na Kutoa HARUFU Inayowavutia NYUKI; Lakini Cha Ajabu Akina Dada Wa Digitali HATUJUI Haya, Tunazidiwa AKILI NA MAUA... Hii Ni Hatari Sana!
Ninapozungumzia Muda Wa UA KUCHANUA NA KUTOA HARUFU INAYOVUTIA NYUKI; Namaanisha Uwezo Wa Kutambua MAJIRA SAHIHI YA DADA KUOLEWA NA KUHAMA TOKA KWENYE KUNDI LA "MAUA YALIYOJIFUNGA" Yaani USICHANA Kuingia Kwenye Maua Yanayoingia Kwenye "UCHAVUSHAJI" Yaani Kuwa Mke, Mama Nakadhalika!
Nyuki Hawawezi Kuruka Kuja Kwenye UA LILILOJIFUNGA (Mdada Aliyekaa Mkao Wa KUTOONESHA DALILI ZA KUWA MKE), Bali Nyuki Huwa Wanaruka Kuelekea Kwenye MAUA YALIYOCHANUA NA YENYE HARUFU YA KUVUTIA!
Kama Dada, Kama Unaona Muda Wako Wa Kuolewa ULIOKUSUDIA Umekaribia, ANZA "KUCHANUA" Anza Kujenga Tabia Za Mke Na Si SISTA DUU Anayetafuta Mme.
Nyuki Wote Wanajua MAUA YALIYOCHANUA NA YENYE HARUFU NZURI; Vivyo Hivyo Kwa WANAUME WAOAJI, NAO WANAJUA BINTI GANI ANAFAA KUWA MKE!
Tabia Na Mfumo Wa Kuwa Mke HAUJENGWI NDANI YA NDOA; Unajengwa Ukiwa Bado Peke Yako, Unaanza KUPUNGUZA TABIA ZISIZOHITAJIKA KWENYE NDOA AMBAZO MABINTI WA KAWAIDA HUWA WANAKUWA NAZO.
Unaanza Kujenga Tabia Ya Kuwa Mama Mwenye Nyumba, Jifunze Kuwa Katika Namna Ya Mke Apaswavyo Kuwa.
Ukikaa Kwenye UHALISIA WA MKE ATAKIWAVYO KUWA; NYUKI WATAONA NA WATAKUJA, Halafu Wewe Ndiwe Utakayekuwa Na Kazi Ya KUCHAGUA YUPI KATI YAO NI MUOAJI NA YUPI KATI YAO NI MUONJAJI!
Kila Mwanadada Aliyekusudia Kuolewa Anaweza Kuolewa, Lakini Ni Lazima Uwe Na UFAHAMU WA KUTOSHA Kuhusu MKE Apaswavyokuwa Kabla Hauja-Attract Attention Ya Waoaji.
Mungu Awasaidie Akina Dada Wenye Nia Ya Dhati Ya Kuolewa Na Kuwa Na Miji Yenu![]()
![]()
Sababu ya kutaka kuoa kwa mwanaume huwa ni moja tu, kapevuka kwa ndoa. Ukiona kaingia huko kwa sababu zingine huyo ujue alikuwa bado. Fikiria embe lililokomaa na kudondoka lenyewe ukilinganisha na yale yanayochumwa kabla na kuvundikwa, yana radha tofauti ujue. Muolewa aliye tayari asipoweza kutofautisha hizo embe mbili ndio hivyo tena, ukakasi mwiiingi!Shida ni kuwa unajiandaa kuwa sasa umekua and yo ready for a certain kind of life(ndoa) kwasababu gani? Yo desparate,umri unakutupa,jamii inakusakama,nawe wataka harusi,fulani nae kaoa/kaolewa,au???
Hapo lazima ufake tu, haya mambo yawe natural ili ujue unaingia ktk maisha ya ndoa na fulani ambae nae yuko tayari kama wewe(nae awe real).
espy jibu swali lililoulizwaHili swali ni subjective, kila mtu ana anachoangalia.