Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Last time kapata mchumba, akamuektia mchumba kaingia line akamvalisha engagement, kuanza upelelezi jamaa akaambiwa huyo mwanamke hafai anatukana mno, jamaa kaenda kumuuliza baby nmesikia hivi na hivi, swali la kwanza mwanamke kauliza ni matak* gani huyo kasema, akashusha matusi mchumba akamwambia basi mama hiyo pete utatengeneza hereni, kala kona
 
hahahahahahahahah! walah ndoa hizi khaaa!nilifanya bwana ile ya kupokea had koti siju nkumvua viatu,i kufungua vishikizo aliniuliza oya UMETUMWA NA CHADEMA EH???yaan niliishia kucheka hatari kwakwel kila mtu na ndoa yake
Mfyuuu zenu na robo, kisa cha kunichekesha usiku wote huu ni nini? Eti umetumwa na Chadema haha

Na moyo uliopondeka.
 

Au unaanza kuunganishiwa date na watu fulani fulani khaaaah!!!
Si umeona nimequote quotes mbili, ile ya 7sijui nini na ya alwatan, umeona zinavyopingana? Sasa ule ndio mtazamo wa wabongo wengi. Yaani hata uwe na mafanikio bado watauliza "hivi kaolewa" maana mafanikio ya mwanamke ni pamoja na hilo.


Hii kitu huwa inani bore!, kana kwamba sisi sio viumbe bila ya wao.
 
Back
Top Bottom