Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Hapa tunajadili CHADEMA hao unaowasema siwajui labda ungetoa ufafanuzi kama mimi nilivyo fafanua.
ukiwasha moto uwe na faya aksitingwisha.
leo utakojowa dagaa.
muite nape akusaidie.
Hapa tunajadili CHADEMA hao unaowasema siwajui labda ungetoa ufafanuzi kama mimi nilivyo fafanua.
Asante mtoa mada kwa ujumbe mzito!
Semeni kweli daima na mwepuke msema uongoChadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.
Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.
CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.
na hii ni hatari sana.
Sachet za Valeur, Tyson na Zed zipigwe marufuku. Mwanzisha thread ni addict wa vinywaji hivyo.[/QUOTE] UMESAHAU NA BANANA MKUU.
Huna pointi ya kujitete umewahi kuona mtu anakojoa dagaa au la sivyo hiyo ni dalili ya kuwa hunapointi. Toa pointi Ng'wanangwa Kinahe shi ngosha.
Mimi sija sema hakina uhalali kisheria hapa ni mfumo wake jinsi ulivyo.
1. Ninataka ulete historia ya chadema na utendaji wake wa kazi.
2. Ni kwanini Nyerere na Mtei walikorofishana na ikapelekea Mtei ahame na kuanzisha CHADEMA?
3. Nieleze kwanini Kaburu alihama CHADEMA na kurudi CCM?
4. Nchi kama ya china si ya kibepari lakini ndio sasa inayo tisha kiuchumi duniani. So sisi watanzania hatutaki Kuwa na UTAWALA BORA bali UONGOZI BORA, hii ndio MSINGI MKUU WA CCM.
CCM wamejikwaa sasa wanarejea mwanzo.
Nikuulize swali na unijibu usikwepe. Msingi mkuu wa CHADEMA ni nini?
Kwahiyo ndio kiwango chako hicho cha kuelewa. Hapa pointless ni ipi kusema CHADEMA inawafadhili kutoka nchi za magharibi?
Yaelekea wewe hata hujui kwa ni i Nyerere aliachia ngazi, na kwa nini siasa za kibepari zilingia wakati yu hai na hakukemea hata kwa neno moja. Ni kwamba alijua amekose wapi hasa baada ya USSR kufa hivyo kukosa pa kuegemea ili kusukuma ujamaa. Nakushauri jipange kabla ya kuropoka usiyoyajua hata kwa picha japo hujui soma basi sikiliza wanaojua kwanza.
CHADEMA-Chama Cha Demokrasia na Maendeleo "Come one Come All"
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.
Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.