Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

ubepari unasidia uchumi wa nchi kukua, hata ukuangali nchi zote zilizoendele zipo ktk mfumo wa kibepari, hata Tz sasa ipo ktk mfumo huu wa kibepari anaejituma sana ndio anafaidika, anae lala inakula kwake. Hebu fikiria tungekuwa ktk ujamaa(njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na serikali) na ufisadi huu uliokuwepo tungeshindwa kupata mahitaji hata kama fedha zipo mifukoni. Viva ubepari.

Sio zote je CHINA ni ya kibepari?
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

Jipange tena mkuu..... Hapo umeongea utumbo tu!
 
kule mbozi kuna watu wanachuna ngozi nadhan anael unawafaa,rip,,anael,,,,,,
 
Inaonekana mleta thread unawashwa,huna tofauti sana na Elton john.
 
[h=3]Mkuu pole sana hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya hiyo kitu hapo chini, next time njoo angalau na ushahidi halafu acha kuanzisha vi uzi vingi vingi visivyo na maana sawasawa??[/h]
 
Anael ushoga siyo dili,epuka haraka vitendo hivyo.UTAENDA JAHANAM OHOO SHAURI YAKO,WACHA KUKURUPUKIA MAMBO.unatumika kwa faida yako.KOMA MARAMOJA.
 
Umesahau kuwa moja msingi wa Chadema ni kuhakikisha ikipata Nchi hakuna Waziri,Naibu Waziri,Katibu Mkuu ,Wakurugenzi ,Katika na maofisa wote Ngazi ya maamuzi katika Wizara,Idara na Mashirika ya Umma ambae ni Muislamu.'Waislamu wote toa kwanza hawana elimu hata ikiwa wamesoma lakini hawajaelimika kwa sababu ni waislamu halafu ni Ma-alqaida weka wachungaji tuuu!wao kwa kupunguza kelele weka wapika chai na wapokea wageni kwa sababu wako na imani kidogo kuliko sisi.AU Mnasemaje jamani nimeweka udini hapo?:angry::glasses-nerdy::A S 20::sick::A S thumbs_down::twitch::A S 100::majani7:
 
Anael ushoga siyo dili,epuka haraka vitendo hivyo.UTAENDA JAHANAM OHOO SHAURI YAKO,WACHA KUKURUPUKIA MAMBO.unatumika kwa faida yako.KOMA MARAMOJA.

Nimekusamehe maana hujui utendalo. Sisi huwahatutukani huwatunajihami kwa pointi.
 
chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa chadema ni mzee mtei ambaye alitofautiana na baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za imf mtei alikuwa anaunga mkono bali nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

Chadema kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na chadema kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

Na hii ni hatari sana.

unaweza ukawa ni juha. Nambie, serikali ya ccm toka kuanguka kwa ujamaa duniani, wanapata misaada toka wapi?
 
unaweza ukawa ni juha. Nambie, serikali ya ccm toka kuanguka kwa ujamaa duniani, wanapata misaada toka wapi?

Hapa tunaongelea CHADEMA sio CCM. Weka yako ya CCM sawa?
 
sitaki kukuamini kabisa, haijalishi hata ukisema CDM ni chama cha kibepari nitaendelea kukipenda, mbona ccm ni chama cha mafisadi na wapo wanaokipenda? hata mkijaribu kupindisha ukweli CDM ndio chao kinachokubaliwa na watanzania wengi kwa sasa
 
sitaki kukuamini kabisa, haijalishi hata ukisema CDM ni chama cha kibepari nitaendelea kukipenda, mbona ccm ni chama cha mafisadi na wapo wanaokipenda? hata mkijaribu kupindisha ukweli CDM ndio chao kinachokubaliwa na watanzania wengi kwa sasa

kekuwetu: Sikia Mda wa kuperekeshana kama wakoloni umepitwa na wakati. So jaribu kufuatilia mtiririko wa viongozi wa CDM utaona ulivyo. Je unaijua Back ground ya Mbowe?
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Wajamaa ni CCM maana jamaa zao wote wanaishi kijamaa kama wapo peponi kama RA, Vijise..,LA, Riz.., Idd Lion, bahi Mp etc
 
Back
Top Bottom