Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

Umefulia
 
Ondoa uchafu wa huko nyuma kwanza ndo uje jamvini
 
Hivi bado ujapona ule ugonjwa wako wa akili mkuu?
 
Nadhani huna hata hakika ya mfumo gani ambao CCM wanaufuata kwa sasa.Fuatilia hili na utagundua kwamba CDM ndo mbadala pekee wa CCM.The only solution is NATIONALISATION OF NATURAL RESOURCES we have so far.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea wageni.We need a turning point,and CDM is our turning point.Maana waasisi wa ujamaa wa nchi hii ndio mabepari wakubwa na wanaoongoza kwa utajiri.They are only 15% of national population but they own 70% of our resources.
 
Anael nimekuteuwa kuwa mkuu wa wilaya wa kichwa chako maana nadhani unatamani usikiwe kwa bumba zako ili uteuliwe angalau udiwani.POLE SANA
 
Watu wengine wanachekesha kweli, mwenyewe anaishi katika mfumo wa kibepari (wa CCM) tena uliokubuhu kwa wizi, lakini hajui kama yuko kwenye ubepari. Alafu anaponda CHADEMA. Sawa na mtu aliyetapakaa mavi mwili mzima lakini hayaoni, ila anamcheka mwenzake mwenye mkojo.
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.[/QUOTE
Thibitisha,au SABODO mholanzi?
 
Back
Top Bottom