Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Ndio mkakati uliopo sasa tunataka turudi katika ujamaa. Usiwe na wasi wasi mchakato wa katiba toa mawazo mazuri tu.
Katiba yenyewe hadi tume imeundwa na mwenyekiti wa CCM wakati CCM yenyewe ilikuwa haijajua kiwekwe nini kwenye katiba.
Unategemea nini Ukidandia gari, kubali kushuka litakaposimama au ruka upate zawadi yako.
Sasa na CCM mmedandia gari la kuunda katiba mpya mtajiju.
Labda kwakuwa mna wagonga meza wengi mtalazimisha pumba zenu, ngoja tusubiri. Mawili mtatua salama au maumivu.
 
Annael,
Pole sana kwa matusi yanayozidi kuwa utamaduni wa kawaida wa hapa JF (lakini ni baadhi ya mashabiki wa chama fulani), itabidi uyazoee.
Laiti JF tungejitahidi kuujadili ukweli kama ulivyo, pengine tungekuwa na mchango wa kulielekeza taifa letu katika suluhu. Huko kutofautiana kwa Mwalimu na Mzee Mtei ni kweli kulitokea (Soma kitabu cha Mtei mwenyewe; From Goatherd to Governor). Katika kitabu hicho Mtei anaeleza hilo suala la masharti ya IMF. Hao jamaa walitaka fedha ya Tanzania ishushwe thamani, viwanda na mashirika ya umma tuuze, tupunguze pesa tunazotumia katika sekta ya elimu, n.k. Mtei akakubaliana nao, maana wakati huo uchumi wa nchi ulikuwa unayumba si pole pole, na ili IMF watupe msaada wa kifedha 'kutuokoa' (bailout) ndio wakaja na masharti hayo. Mtei akayakubali, ila yeye alikuwa waziri tu wa fedha, ikabidi aende kwa mkuu wa kaya, ambaye aliwatolea nje, na akamwambia Mtei, 'Tanzania haitatawaliwa kutokea Washington, na hela yetu hatushushi ... over my deadbody' Kesho yake Mtei akajiuzulu.
Lakini hali ya uchumi ikaendelea kuwa ovyo, hatimaye Mwalimu akang'atuka. Akaja Mzee ruksa, asijue afanye nini na hiyo hali, ndipo ikabidi awakubalie IMF, tena kwa namna fulani akamtumia huyo huyo mzee Mtei kwa kumtuma awe mwakilishi wa Tanzania katika makao ya IMF Marekani. Kwa hiyo sera za kubinafsisha zilianzia hapo, Mkapa alikuja kuintensify tu. (Hapa utaelewa kwa nini watu wanasema CCM halisi, ile ya kijamaa iliondoka na Mwalimu)
Hatimaye Mzee Mtei akiwa amekwishashiba mambo ya IMF na Benki ya Dunia, na akiwa anajua fika matatizo yetu kiuchumi yalikoanzia, uliporuhusiwa mfumo wa vyama vingi nchini, ndipo yeye na wenzake wakaanzisha chama chenye mtazamo huo uliousema.
Turejee nyuma kidogo, kwa nini uchumi uliyumba hadi ikabidi IMF waje kutuwekea 'dhamana'? Sababu ni nyingi; 1. Vita vya Kagera (tumlaumu Mwalimu?) 2. Kupanda kwa bei ya mafuta ulimwenguni (tulaumu mfumo wa uchumi wa dunia?) 3. Ufisadi wa waliopewa dhamana ya kuendesha mashirika ya umma (hapa tujilaumu sisi wenyewe watanzania kwa tabia ya kutafuna kama mchwa, na kutothamini bidhaa zetu wenyewe).
Jambo jingine tujiulize; je, dhamana ya IMF imesaidia? Hata kidogo, tena ndio imefanya mambo yakawa mabaya zaidi.
Ndio maana nikasema, kama JF yaweza kuwa jukwaa la msaada kwa Tanzania, inabidi iwe sehemu ya kutafuta njia ya tunachomokaje katika udhaifu wa nchi kiuchumi ambao wahuni wa magharibi wameutumia kwa kutulaghai kwamba wanatusaidia kumbe ndio wanatuharibia zaidi.
 
Chama kisicho cha kibepari ni kipi? Mbona hamjahoji ukwapuaji wa mabilioni ya EPA yaliyotumika kuwaweka madarakani waliopo sasa?
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.
\
duh ama kweli kuna kila sababu ya ww kutokuhusishwa katoa maoni ya katiba mpya, na ccm niaje wameuza nchi, madini yote kwa wageni, je huo mfumo wa ccm ni ujamaa au, avoid utoto kwenye mambo ya msingi, usinilazimishe nikufikirie otherwise.
 
Ndugu Anael, waweza kunisaidia sasa hivi chini ya utawala wa CCM Nchi hii tunafuata mfumo gani?

Ikifika ya kipindi cha CCM utaona nitakueleza hapa tunaongelea CDM
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

Kwani sasa hivi CMM wameyakubali masharti ya IMF au La? Kama wamekubali Mtei alikuwa sahihi na anafaa kuonekana shujaa.
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.
Kutofautiana ni kawaida,
Kibaya ni kuwa viongozi wa CCM walipotofautiana na Hayati Nyerere.
Waliamua kumfanyia kitu kibaya ili sera zao za KIBEPARI zitimie, Je hilo unalijua?
 
CCM hawajajikwaa? wameanguka na wamechanganyikiwa. Msome leo jamaa anaitwa 'Msomaji raia' gazeti la raia mwema, ujue kuwa udanganya. Msome John kibaso mwana magamba maarufu na mbunge wa Temeke kasema nini? ujue watu wenye fikra nzito ndani ya CCM husikii wanasema hovyo kuhusu CDM, ina imani katika ubepari sawa, lakini wenye utu na uzalendo. Sio ujamaa wa Kifisadi na kupungukiwa uwezo wa kufikiri na kuelekeza nchi katika hatima njema. Kama. tuko wa kweli, ni kwa nini Mtumishi wa Mungu, Mwl. Nyerere alivyolilia azimio la Arusha kuuawa Zanzbar hamkujitokeza? China waliamua kufa na kuishi na ujamaa wao na Misingi sahihi ya ujamaa wao. Nyinyi ujamaa mnao usema ni ule wa azimio la arusha ama upi? Mmeshapotea njia, acheni waliojipanga wapite, mrudi mkae chini mje na sera sahihi
 
Wewe tatizo lako nini hasa umesoma maelezo yangu yote. Je unahoja ya kujitetea niliyo yatoa?

Tatizo langu ni mambo machache tu:

Vipaumbele vya chama chako (DC kuwa na V8 ya zaidi ya 400m na mama wajawazito kuzalia chini kipi kingeanza kupewa uzito?)

Wanafunzi kukaa chini ama BOT kujengea wakurugenzi nyumba za 2B na mawaziri kuweka vimada wao kwenye nyumba za serikali Dar & Dom;

Kukosa huduma muhimu za kijamii eg Afya ama pesa kuishia kwenye seminar elekezi?!

sasa mambo kama hayo yamekuwa yakifanyika miaka nenda miaka rudi na sasa Chadema kimeingia tukiunge mkono ili kikomeshe hayo.
 
Annael,
Pole sana kwa matusi yanayozidi kuwa utamaduni wa kawaida wa hapa JF (lakini ni baadhi ya mashabiki wa chama fulani), itabidi uyazoee.
Laiti JF tungejitahidi kuujadili ukweli kama ulivyo, pengine tungekuwa na mchango wa kulielekeza taifa letu katika suluhu. Huko kutofautiana kwa Mwalimu na Mzee Mtei ni kweli kulitokea (Soma kitabu cha Mtei mwenyewe; From Goatherd to Governor). Katika kitabu hicho Mtei anaeleza hilo suala la masharti ya IMF. Hao jamaa walitaka fedha ya Tanzania ishushwe thamani, viwanda na mashirika ya umma tuuze, tupunguze pesa tunazotumia katika sekta ya elimu, n.k. Mtei akakubaliana nao, maana wakati huo uchumi wa nchi ulikuwa unayumba si pole pole, na ili IMF watupe msaada wa kifedha 'kutuokoa' (bailout) ndio wakaja na masharti hayo. Mtei akayakubali, ila yeye alikuwa waziri tu wa fedha, ikabidi aende kwa mkuu wa kaya, ambaye aliwatolea nje, na akamwambia Mtei, 'Tanzania haitatawaliwa kutokea Washington, na hela yetu hatushushi ... over my deadbody' Kesho yake Mtei akajiuzulu.
Lakini hali ya uchumi ikaendelea kuwa ovyo, hatimaye Mwalimu akang'atuka. Akaja Mzee ruksa, asijue afanye nini na hiyo hali, ndipo ikabidi awakubalie IMF, tena kwa namna fulani akamtumia huyo huyo mzee Mtei kwa kumtuma awe mwakilishi wa Tanzania katika makao ya IMF Marekani. Kwa hiyo sera za kubinafsisha zilianzia hapo, Mkapa alikuja kuintensify tu. (Hapa utaelewa kwa nini watu wanasema CCM halisi, ile ya kijamaa iliondoka na Mwalimu)
Hatimaye Mzee Mtei akiwa amekwishashiba mambo ya IMF na Benki ya Dunia, na akiwa anajua fika matatizo yetu kiuchumi yalikoanzia, uliporuhusiwa mfumo wa vyama vingi nchini, ndipo yeye na wenzake wakaanzisha chama chenye mtazamo huo uliousema.
Turejee nyuma kidogo, kwa nini uchumi uliyumba hadi ikabidi IMF waje kutuwekea 'dhamana'? Sababu ni nyingi; 1. Vita vya Kagera (tumlaumu Mwalimu?) 2. Kupanda kwa bei ya mafuta ulimwenguni (tulaumu mfumo wa uchumi wa dunia?) 3. Ufisadi wa waliopewa dhamana ya kuendesha mashirika ya umma (hapa tujilaumu sisi wenyewe watanzania kwa tabia ya kutafuna kama mchwa, na kutothamini bidhaa zetu wenyewe).
Jambo jingine tujiulize; je, dhamana ya IMF imesaidia? Hata kidogo, tena ndio imefanya mambo yakawa mabaya zaidi.
Ndio maana nikasema, kama JF yaweza kuwa jukwaa la msaada kwa Tanzania, inabidi iwe sehemu ya kutafuta njia ya tunachomokaje katika udhaifu wa nchi kiuchumi ambao wahuni wa magharibi wameutumia kwa kutulaghai kwamba wanatusaidia kumbe ndio wanatuharibia zaidi.

Ahsante ndugu yangu kwa inabidi tuachane na matusi hii nchi ni yetu sote tujadiliane sote
 
​kaombe pesa nyingine ukale chips ukirudi labda utajibu vizuri ccm kwishney
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

:majani7: Ukimaliza kucheza ntakununulia PIPI:clap2:
 
ww una dalili za ugonjwa wa pepopunda, sio bure.
 
Puuuuumbaaaaaafuuuu!!!!!
Jinga kabisa weye. Tuondolee ***** wako hapa.
 
Tatizo langu ni mambo machache tu:

Vipaumbele vya chama chako (DC kuwa na V8 ya zaidi ya 400m na mama wajawazito kuzalia chini kipi kingeanza kupewa uzito?)

Wanafunzi kukaa chini ama BOT kujengea wakurugenzi nyumba za 2B na mawaziri kuweka vimada wao kwenye nyumba za serikali Dar & Dom;

Kukosa huduma muhimu za kijamii eg Afya ama pesa kuishia kwenye seminar elekezi?!

sasa mambo kama hayo yamekuwa yakifanyika miaka nenda miaka rudi na sasa Chadema kimeingia tukiunge mkono ili kikomeshe hayo.

Unaongelea chama changu, hapa tunaongelea CHADEMA sawa rafiki?
 
Ikifika ya kipindi cha CCM utaona nitakueleza hapa tunaongelea CDM
Unaijadili CDM kwasababu gani?.
Je unaona ndio viongozi wa nchi wa chini kwa chini?.
Hakuna viongozi wa serikali kwa sasa?.
Kama wapo wako sawa kiasi cha kuacha kuwajadili ili kuweka mabo sawa?.
Au kwa kuwajadili CDM tutoweza kuweka mambo ya uchumi wetu sawa?.
 
Hayo sasa ni maswali ya kikubwa sio kutukana.
Nataka watu waijue CHADEMA ikoje ili wachague.
Kuhusu viongozi wa serikali kwa sasa hapa sio sehemu yake post thread yako ya kuhusu viongozi wa serikali.
Tunaanzia hapo CHADEMA na nitapita kwa kila chama ili vitoe vitu vyote hadhalani sio kuwapeleka peleka wanachi eti tu kwa sababu wanashida. No thank you.
 
Back
Top Bottom