rejea signature yako ina majibu ya post yako.
chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa chadema ni mzee mtei ambaye alitofautiana na baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za imf mtei alikuwa anaunga mkono bali nyerere alikataa sera za kibepari.
Kwahiyo sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.
Chadema kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na chadema kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.
Na hii ni hatari sana.
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.
Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.
CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.
na hii ni hatari sana.
Unavijua kwa majina sisi tunavijua kwa VITENDOHicho hakipo Tanzania.
Hayo sasa ni maswali ya kikubwa sio kutukana.
Nataka watu waijue CHADEMA ikoje ili wachague.
Kuhusu viongozi wa serikali kwa sasa hapa sio sehemu yake post thread yako ya kuhusu viongozi wa serikali.
Tunaanzia hapo CHADEMA na nitapita kwa kila chama ili vitoe vitu vyote hadhalani sio kuwapeleka peleka wanachi eti tu kwa sababu wanashida. No thank you.
Asante mtoa mada kwa ujumbe mzito!
Tujitahidi sana na kuwaogopa watu walioishiwa/kufilisika sera kichwani mwao,wanaweza wakaleta ubaya wa aina yeyote ile tuwakatae na tuwapuuze kabisa Kama huyu mleta mada hapa.
Unavijua kwa majina sisi tunavijua kwa VITENDO
Je hakuna chama chenye mafisadi?
Kama hujui jaribu kuwapitia viongozi wa vyama unavyovijua uwaulize kila chama kama wana mafisadi.
Tena wana makundi wengine wanaitwa MAPAPA.
chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa chadema ni mzee mtei ambaye alitofautiana na baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za imf mtei alikuwa anaunga mkono bali nyerere alikataa sera za kibepari.
Kwahiyo sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.
Chadema kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na chadema kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.
Na hii ni hatari sana.
Sasa wewe upuuze pasipo pointi. Toa pointi ya kujitetea na kuprove wrong.
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.
Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.
CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.
na hii ni hatari sana.
Hao wenye migodi ya dhahabu wanaochukua mpaka udongo bila nchi kunufaika na chochote ni malipo ya kitu gani ambacho CCM walichukua kwao!?
Kama hutaki kujadili si ukae kimya tu si lazima