ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,060
- 40,293
- Thread starter
- #61
Nisamehewe sijui nitendalo mimi 😔Aiseeeeh!
Nisamehewe sijui nitendalo mimi 😔Aiseeeeh!
Mie najua mtoto, kumbe uko bize kutaka🙆♂️🙆♂️🙆♂️Nisamehewe sijui nitendalo mimi 😔
Nisipoota kesho una kesi nzito.Kila la kheri katika ndoto yako ya kishenzii🤣🤣
nimechelewa au ndo mnapakua pakua😜😅😅
Nakunywa brutal fruit hapa ya 5 genye zimeamka ghafla😋😋Unataka au hutaki? 🫣
Aliuliza hivi, Darling, itawezekana kweli huu siku upite hivi? 😉
Mi nikamwambia, Eeh, itawezekana Yes, wewe usijali, lala na utulie
Heh... gafla bin vuu, mkono wake nikausikia unapapasa kifua taratibu Nikamwambia, Hapana, nasikia kizunguzungu, nasikia kama homa hivi(sitaki nataka)
Akaamka taratibu, akachukua tauro, akaloweka kwenye maji, akaanza kunikanda kwenye paji la uso, akashuka mpaka kifuani, ananikanda taratibu😊
Kumbuka hapo tulikubaliana kua je inawezekana😆
Basi bhana, sijui hata ilikuaje
Kulikua na moment fulani hivi👌
Alikua ananukia perfume fulani, anadai ni mwaka wa kumi na tano hajabadilisha
Nikasema, Weee... inanukia balaa
Basi bhana... Bluetooth connected 💋
Bonge la moment, issue ikawa deep
Basi bhana, si nikashtuka
La haulaaa! Kumbe ni ndoto bhana, nilikua naota🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila ukiachana na hiyo ndoto yangu...
Hivi wewe ulishawahi kua na bebe, time ya jigijigi ukawa sitaki nataka, au yeye akawa sitaki nataka?
Vipi, jigijigi iliyokua na kamchezo sitaki nataka, unaona vibe lake lipo je?
Thank you JF tutakuna next time 🫂
ShesRise_1 🤚
ukiona hilo jina mahali kimbia mbioo😅😅 usiseme sijakwambia
🤣🤣 polee aisee dahHaya madeni ninayodaiwa, yanakata hisia sana
Bibi nisamehe bhnaa🫣Mie najua mtoto, kumbe uko bize kutaka🙆♂️🙆♂️🙆♂️
🤣🤣Nisipoota kesho una kesi nzito.
Ndio tunapakua pakua tuli subiri ufike lolo😍nimechelewa au ndo mnapakua pakua😜😅😅
Kwa kusoma tu umeshikwa na nyege weee acha basi😅Nakunywa brutal fruit hapa ya 5 genye zimeamka ghafla😋😋
Kumbe mie nimekuita ujionee kumbe una mjua kitambo🤣🤣🤣ukiona hilo jina mahali kimbia mbioo😅😅 usiseme sijakwambia
Unanisaidiaje, na hii baridi ya huku ni hatari kweli🤣🤣 polee aisee dah
Una mda gani babu🤪Kama hujawekana mda mrefu kudînɗæ ni dakika sifuri
Karibu sweetie 🥰Unaachaje kuniita mimi ndugu Yako wa damu kabisa 😜. Sasa nirejee kwenye mada.....
Ni kamda kidogo mjukuu 😅Una mda gani babu🤪