Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Mkuu umesahau kujengwa kwa Standard Geuge treni ya kisasa
Airprt ya kimataifa jijini mwanza
Serikali kuhamia dodoma
Wakulima kufutiwa kodi
Wajasiria mali kupewa mikopo
Bomba la mafuta kupita nchini

Hadi billy gate alikuja kumuona baba jesca hakuamini alivokua akisimuliwa,,akaja mwenyewe na kuacha mamilioni ya dola[emoji3]
 
kujenga uwanja wa ndege mkubwa shinyanga
pia kuwekeza kwenye mataa barabarani kulee kwake
IMG_8270.JPG
 
Napiga ukosefu wa ajira kwa maelfu ya vijana

Napinga upendeleo wa wazi kwa wenye vyeti feki

Napinga bomoa bomoa isiyo natiaja kwa maelfu ya wanainchi na tasisi za serikali huku kule kwetu mwanza tumeachwa

Napinga sana mauwaji ya wakosoaji wa serikali kwa ni dhambi kuuwa....by the way kila kitu kina mwisho wake
 
Kwa hiyo barabara ya njia sita kutoka ubungo to kimara hutaki ijengwe??
 
Namm naongezea katoa wafanyakazi hewa zaidi ya elfu kumi kazivuta kwake wizara 2 muhimu zenye purukushani nyingi ambayo ni tamisemi na utumishi na hata tulitegemea labda atachoka aziondoe kwake lkn wapi hadi leo yuko nazo na anaziendesha alipoi gia madarakani alikuta hali ya hazina ilikuwa mbaya kiasi kwamba alikatiza kwa mguu kutoka ikulu hadi hazina kwa shauku ya kujionea hali ilivyokuwa ndugu yangu yasikie hivo hivo tu yasikukute au yasimkute mtu kama ww muoga kama ww moyo unaweza kusimama saa hiyohiyo ila yakimkuta mtu mwenye roho ngumu yeye komandoo wa uchumi anacho cha kufanya kaweka timu imara mapato ya kila sehemu yakaanza kuonekana kadhibiti kila kona bandari madini nk
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Ungeongea/kuandika in comparison na watangulizi wake. Mfano mikopo ya elimu ya juu.
 
Karibu JF. Lakini unaingia tu kichwa kichwa hata hodi hupigi?!Pia umeandika kama kilaza kabisa! Jitahidi usomesome kabla hujabandika. Kuna maktaba humu yenye nondo za takriban miaka 11 na ushee hivi.
Acha usenge kuna mikopo wap ww
 
Ni Tanzania pekee tuna frahia uwepo wa machinga, biashara isiyo lipa kodi halafu tunakaa kuota maendeleo.
Ila wanadai watawaeka sehemu moja rasmi, kama ni maneno tu tusubiri..
 
ndg wana jf mtanzania mzarendo n yule mwny kupongeza na kukosoa jambo fulan lakn kupongeza Mara nyng kunakua moyon it means hakuna asiyejua baadh ya kaz ngum alzofanya MKUU lakn kukosoa kunakua mkonon ili kumfanya mkosaj kujrekebxha mapema xo tucpenfe kucfu xana kla jambo maana kunaweza kumbwetexha MTU akasahau majukumu yake
Unamchango mzuri, ungeandika KISWAHILI ingependeza sana.
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Kimsingi, JPM hajabakiza chochote ambacho mtu mwenye nia njema anaweza kukipinga. Na kwa sababu hakuna tena kitu kinachoweza kumsababisha mtu apingane naye, wenye tamaa ya kupinga wameanza kupinga hata vile visivyopingika, matokeo yake JPM amegeuka sasa kuwa Somba Somba, anausomba upinzani kuurudisha kwenye chama chake. Kwa sababu wanaoelewa, wanaanza kuondoka upinzani kwa kujua kuwa upinzani umeanza kupotoka. Mind you kuwa mpinzani si kuwa adui wa serikali ilyopo madarkani. JPM wamwache afanye kazi, na anazo baraka za Wa-tanzania wenye nia njema na wazee maarufu wakiwemo akina Mzee Butiku. Wamwache Rais wetu afanye kazi!
 
Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
Mimi simpingi kwenye haya, ila kwenye uhuru wa habari na mitandao bado kuna kasoro, pia ajaribu kufanya yale ya maana kwanza kuliko kuonekana mlaini kwenye mambo fulani lakini mgumu kwenye lingine lilol dhahiri lianze..
Bado kelele za vyama vya Upinzani zinarindima, aliangalie hili, upinzani ni chachu ya maendeleo, sisemi wakivunja sheria wasishughulikiwe ila nasema kunaoenekana kuna kutumia nguvu za dola na siyo za hoja kwenye hili..
 
Back
Top Bottom