- Thread starter
- #121
HahahahaMkuu umesahau kujengwa kwa Standard Geuge treni ya kisasa
Airprt ya kimataifa jijini mwanza
Serikali kuhamia dodoma
Wakulima kufutiwa kodi
Wajasiria mali kupewa mikopo
Bomba la mafuta kupita nchini
Hadi billy gate alikuja kumuona baba jesca hakuamini alivokua akisimuliwa,,akaja mwenyewe na kuacha mamilioni ya dola[emoji3]