Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Hili la elimu bure ____hapana halijakaa vizuri. Vyumba vya madarasa havitoshi,madawati ni ya kugombania.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
_20170925_181048.JPG
_20170911_122202.JPG

Kuna nafas ya RC na za DC 9
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.
8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Namba 1 napingana nayo, tafuta mwalimu yoyote na uliza kuhusu elimu bure, usisikie maneno nenda kwenye uhalisia
 
Flyover kila mahala umemaanisha nini, lile daraja la mwanza pale furahisha utaliita flyover, na mbagala kuna flyover
Nimeona nisiendelee kukoment manake naona umeandika uzwazwa tu ati kodi kufutwa,
 
Umesahau kutuwekea clips za campaign na swala la kuvunja tanesco blg
 
Karibu JF. Lakini unaingia tu kichwa kichwa hata hodi hupigi?!Pia umeandika kama kilaza kabisa! Jitahidi usomesome kabla hujabandika. Kuna maktaba humu yenye nondo za takriban miaka 11 na ushee hivi.
Ongeza - kumkubali Magufuli ni kukataa:
1. Usaliti wa ndege yetu kukamatwa nje
2. Usaliti wa dhahabu yetu kuungana na Acacia
3. Kupoteza hela ya walipakodi liveTV saa za kazi
4. Kutukanwa kwa Rais
5. Vurugu maandamano yasoisha
6. Mafisadi kukimbilia mafichoni Chadema
7. Kuvunja muungano
8. Ukabila
9. Ukanda
10. Udini
 
Shule ya msingi Bunge ndiyo shule ya msingi iliyo karibu na ikulu kuliko shule yoyote hapo bongo, nina mdogo wangu pale. Hebu nyie wa elimu bure niambieni; ni mchango gani ulikuwepo pale kabla ya 2015 na sasa umefutwa? Halafu mseme kweli, kwa siku wanafunzi wanafundishwa vipindi vingapi? Endeleeni kuunga mkono maigizo.
Kutoa elimu bure sio kufuta michango kwa vile Christmas na harusi zinaendelea. Elimu bure night kulipwa mishahara ya walimu na kutumia majengo ya serkali na vifaa bure lakini wazazi .bado wanalipia nauli za watoto na nguo wanazovaa
 
Karibu JF. Lakini unaingia tu kichwa kichwa hata hodi hupigi?!Pia umeandika kama kilaza kabisa! Jitahidi usomesome kabla hujabandika. Kuna maktaba humu yenye nondo za takriban miaka 11 na ushee hivi.
TUMSAMEHE HUYU DADA YETU.ALIINGIA 17/NOV/2017 HATA MWEZI HAJATIMIZA.NA NINA MASHAKA KAAMKA GHAFLA TU.DADA UMEOGA BAADA YA KAZI YA USIKU WA KUAMKIA LEO?
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.
8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
WEWE DADA WEWE ACHA KUROPOKA UPO HAPA TOKA 17/NOVEMBER/2017.TUNAKUSAMEHE. ILA KABLA YA KUINGIA HAPA UWE UNAOGA KWANZA. NINA MASHAKA HUJAOGA BAADA YA KAZI YA USIKU WA KUAMKIA LEO. ILA TUMEKUSAMEHE
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.
8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
pole sana hujielewi, au kama unajielewa utakuwa unasumbuliwa sana na ukabila, ubinafsi, ukanda, chuki nk
 
[emoji374][emoji373][emoji374][emoji373][emoji374][emoji373][emoji374][emoji373][emoji374][emoji373][emoji374][emoji373]
 
Elimu imekuwa bure indeed, vitu vya bure si unajua quality yake?! Malonyalonya. Miaka kadhaa ya kushuka kwa elimu Tz. Wonders keep on springing up.
 
Flyover kila mahala umemaanisha nini, lile daraja la mwanza pale furahisha utaliita flyover, na mbagala kuna flyover
Nimeona nisiendelee kukoment manake naona umeandika uzwazwa tu ati kodi kufutwa,
Buguruni pia lipo. Na huku kwetu Ngopyolo pia limejengwa. Hatupiti tena kwenye fiteputepu (yale madaraja yajengwao kienyeji, yananesaje!!)
 
Hata Martin Luther King alipigwa risasi miaka 500 iliyopita
Hiyo ndiyo justification ya nyinyi kumpiga risasi Tundu Lisu?
Peruzi kidogo usijidhalilishe kiasi hiki,hivi Martin Luther King Jr(civil right activist) alipigwa risasi miaka 500 iliyopita?.
 
Wamemchachawangwe
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.
8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Maswa

Disgusting

Flyover kila.kona?

Tazara ,ubungo ni kila kona...

Halafu unajua...flyover..afrika mashari kubwa ni Thika highway nayo...bado haina...sifa ya flyover bali inaitwa...dual interchange carriage highway..
Ile pale Tazara its a typical Bridge na ubungo itakuwa advanced interchange
Flyover kwa afrika ziko Egypt ,angola ,south etc unakuta barabara inatembea kilometa moja...au...zaidi bila kushuka..kunakua na.exits tu
Mfano wa kama hiyo kulikua na idea ya kujenga toka bandarini...hadi ubungo bila kushuka juuuu kwa ..juu inakua.na.matokeo...sehem...kama...keko,buguruni na ubungo tu..design...ikawa so...expensive thats why they have opted kwa..bridges ambazo. ..tazara tumekopa japan na ubungo ni wolrd bank
 
Back
Top Bottom