Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Karibu JF. Lakini unaingia tu kichwa kichwa hata hodi hupigi?!Pia umeandika kama kilaza kabisa! Jitahidi usomesome kabla hujabandika. Kuna maktaba humu yenye nondo za takriban miaka 11 na ushee hivi.
Kabadili I'd huyu
 
Maswa

Disgusting

Flyover kila.kona?

Tazara ,ubungo ni kila kona...

Halafu unajua...flyover..afrika mashari kubwa ni Thika highway nayo...bado haina...sifa ya flyover bali inaitwa...dual interchange carriage highway..
Ile pale Tazara its a typical Bridge na ubungo itakuwa advanced interchange
Flyover kwa afrika ziko Egypt ,angola ,south etc unakuta barabara inatembea kilometa moja...au...zaidi bila kushuka..kunakua na.exits tu
Mfano wa kama hiyo kulikua na idea ya kujenga toka bandarini...hadi ubungo bila kushuka juuuu kwa ..juu inakua.na.matokeo...sehem...kama...keko,buguruni na ubungo tu..design...ikawa so...expensive thats why they have opted kwa..bridges ambazo. ..tazara tumekopa japan na ubungo ni wolrd bank
Ufipa hata ofisi ya chama imewashinda
 
Well napingana na wewe. Nadhani unachanganya kumpinga rais na kupinga maendeleo.

watu hawapingi maendeleo wala hawakatai maendeleo. Kinachopingwa ni baadhi ya mambo ambayo rais anafanya ambayo wazi yanaonekana si haki kabisa na anavunja sheria ila kwa sababu ndio boss badi anaachwa. Sasa hiv vitendo ndio vinapingwa.
U said it all..!! Good.
 
ndg wana jf mtanzania mzarendo n yule mwny kupongeza na kukosoa jambo fulan lakn kupongeza Mara nyng kunakua moyon it means hakuna asiyejua baadh ya kaz ngum alzofanya MKUU lakn kukosoa kunakua mkonon ili kumfanya mkosaj kujrekebxha mapema xo tucpenfe kucfu xana kla jambo maana kunaweza kumbwetexha MTU akasahau majukumu yake
Daaah, hii ndio miandiko ya mashoga au mabinti wakiwa likizo.
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Namba 1, 5, 7 na 8. Sijaelewa kabisa hebu fafanua tena pengine nitaelewa!
 
Hongera mtoa mada maana pyu pyu pyu hazikuhusu na zishakukosa kwa upande ulopo naona unawahimiza wapenda maendeleo ya kweli wasikumbwe na khazia ya pyu pyu pyu.
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.

Hasipingwe ye kawa MUNGU, ,,huyo Mungu anapingwa na baadhi ya wanadamu
 
Boss Maswa 1 Acha kupotosha Jamii, Hakuna Mtu anayempinga Rais, Watu wana Uhuru wa Kuongea na Demokrasia, As long hawavunji Katiba na Sheria za Nchi. Na Rais ana Haki ya kusikiliza au kutosikiliza, ana Haki ya kupokea na kutopokea Ushauri na Maoni ya Wananchi. Binafsi kuna mambo nampongeza Rais, vile vile kuna baadhi namshauri Rais ayafanyie kazi nayo ni Uhuru wa Kuongea na Demokrasia.

Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
 
Mimi kwa upande wangu sijui ni undumila kuwili.....Maaana ninayoyaona ni kama maigizo watu wanataka kusifiwa bila kukosolewa na kuna upande wanataka kukosoa tu bila kupongeza 😀😀😀😀 Ngoja tusubili tuone mwisho wa maigizo
 
Umefungiwa ufipa ndio maana unaona maigizo
 
Back
Top Bottom