Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Hakuna hata mradi mmoja wa Flyover aliouanzisha Magu.....mipango ya Kikwete ile.
Mbowe ameanzisha mradi gani??Hakuna hata mradi mmoja wa Flyover aliouanzisha Magu.....mipango ya Kikwete ile.
Hapa hazunguziwi Mbowe....kichw cha habari ni Magufuli....sasa acha kudanganya kuhusu flyover kwamba ni miradi yake wakati yeye kaikuta tu. PatheticMbowe ameanzisha mradi gani??
Una elimu gani mkuu au ndo mihemkoMbowe ameanzisha mradi gani??
kwani bangi sio marufuku TZUchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.
Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!
Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.
1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.
2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.
3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.
8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .
Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.
Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Yeye ndiye anakusanya kodi zetu ulitegemea afanye nini?Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Hata Hitler alileta maendeleo makubwa sana UjerumaniUchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.
Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!
Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.
1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.
2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.
3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.
8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .
Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.
Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Sawa TAHIRA.Bibi yako
Huyo Jamaa ni TAHIRA msinunue kesiUna elimu gani mkuu au ndo mihemko
Au hujui rais ni nani na mbunge ni nani na kazi zao ni zipi kama umefika walau Form four basi tz iko na Safari ndefu
Ameanzisha wa kuanzisha maandamano yaliyoleta mauajiMbowe ameanzisha mradi gani??
HahahaAmeanzisha wa kuanzisha maandamano yaliyoleta mauaji