Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Maswa 1

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
673
Reaction score
999
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
 
Well napingana na wewe. Nadhani unachanganya kumpinga rais na kupinga maendeleo.

watu hawapingi maendeleo wala hawakatai maendeleo. Kinachopingwa ni baadhi ya mambo ambayo rais anafanya ambayo wazi yanaonekana si haki kabisa na anavunja sheria ila kwa sababu ndio boss badi anaachwa. Sasa hiv vitendo ndio vinapingwa.
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
kujenga uwanja wa ndege mkubwa shinyanga
 
Shule ya msingi Bunge ndiyo shule ya msingi iliyo karibu na ikulu kuliko shule yoyote hapo bongo, nina mdogo wangu pale. Hebu nyie wa elimu bure niambieni; ni mchango gani ulikuwepo pale kabla ya 2015 na sasa umefutwa? Halafu mseme kweli, kwa siku wanafunzi wanafundishwa vipindi vingapi? Endeleeni kuunga mkono maigizo.
 
hata hivyo ni wajibu wa serikali kutimiza matakwa yake nchini
 
fdfc6242119ec309dcebe23610aa86c2.jpg
 
ndg wana jf mtanzania mzarendo n yule mwny kupongeza na kukosoa jambo fulan lakn kupongeza Mara nyng kunakua moyon it means hakuna asiyejua baadh ya kaz ngum alzofanya MKUU lakn kukosoa kunakua mkonon ili kumfanya mkosaj kujrekebxha mapema xo tucpenfe kucfu xana kla jambo maana kunaweza kumbwetexha MTU akasahau majukumu yake
 
Back
Top Bottom