Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

Hakuna anaepinga maendeleo hata siku moja tena ukipinga maendeleo wewe ni mwendawazimu kabisa, watu wanapinga yafuatayo;
Kutokuwepo kwa demokrasia ya kweli
Uhuru wa vyombo vya habari
Kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi
Kuvunjwa kwa katiba mara kwa mara
Rushwa imeanza kushamiri ktk upande mwingine tena mbaya zaidi kuliko wa awali (ie ununuzi wa upinzani).
 
Kama alivyonunuliwa Nyalandu
 
fdfc6242119ec309dcebe23610aa86c2.jpg

HAINA UBISHI KAMA KOREA KUSINI KUKANUSHA KUTOKURUSHA KOMBORA
 
Puuuuzi la kutosha hili limetokea mtaa gani wa wajinga? 1. Nitajie mjanja mmoja Tz aliyemwandikisha mwanaye kwenye hiyo unayoiita elimu? 2. Machinga wanafanya biashara hovyo na na wamepandishiwa bei ya bidhaa na wananchi hawana hela wanamuuzia nani? 3. Yani kuwa na fli
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
Sikulaumu..ndipo upeo wa akili yako ulikofikia...kesho njoo lumumba tukupe kacheo
 
Acha kupotosha Watanzania. Hayo hayana uhusiano wowote na Magufuli. Kwani ikitokea bahati mbaya akafa hayo hayatafanyika, au ikitokea leo akaamua kujizulu akamaliza muda wake hayo hayafanyika? Hivi umesahau dc Arumeru alipotoa rushwa alipandishwa cheo? Acha kujifanya mpumbavu wakati hauko hivyo. Hiyo ni kujidhalilisha mchana kweupe. Wapo Watanzania wakipewa nafasi watafanya zaidi huyu unayemsafisha, hata wakati wa Nyerere ilionekana hakuna mtu angefanya kama yeye.
 
Kwani kabla ya Magufuli yalikuwa yanafanyika??
 
Labda hili la kumpandisha cheo mtoa rushwa halijawahi kufanyika hadharani. Lakini ninachoamini mengine yote ni sera ya chama tawala na hivyo yalikuwa yanafanyika kwa kadri chama kilivyopanga. Kwa hiyo sioni sababu ya kusema fulani ndo mwenye uwezo wa kufanya, ni mfumo tu mkuu. Mheshimiwa rais hafanyi tofauti na ilani ya chama chake. Na ndo maana hata angepewa hiyo kijiti yeyote ndani ya chama angefanya tu, na pengine zaidi ya haya tunayoona.
 
Uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015 uliacha historia kwa sababu ulikuwa uchaguzi wa mabadiliko. Wagombea wote waliimba mabadiliko na wananchi tuliimba mabadiliko.

Naam, kila aombacho mtu ndio hupewa uchaguzi uliisha na mabadiliko yalipita.
Baada ya uchaguzi kuisha na Magufuli kutangazwa mshindi limetokea wimbi la kupinga kila kitu.
Hadi mabadiliko waliyoyalilia na kuzungusha mikono wanayapinga.!!!

Kumpinga Rais Magufuli ni kupinga yafuatayo.

1. Elimu bure. Hao wapingaji hawataki watoto wasome bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.

2. Machinga kufanya biashara kwa uhuru. Kabla ya rais Magufuli kuwa machinga ilikuwa adhabu ,kupigwa na kuibiwa mali ilikuwa ndio maisha ya machinga.

3. Ujenzi wa flyover kila kona.
4. Kupanda kwa makusanyo ya mapato.
5.Maelfu ya wanafunzi kupata mikopo.
6.Nidhamu na uwajibikaji wa watendaji wa serikali kuongezeka.
7. Serikali kuhamia dodoma.

8. Vita ya rushwa na ufisadi na wakwepa kodi wa billicanas na bandarini.
9. Kodi kufutwa
10. Wachimbaji wadogo wadogo waliokuwa wanafukuzwa kama mbwa sasa wanatajirika .

Anayeyapinga hayo hawezi kushinda uchaguzi ndio maana kwenye kata zote wanaishia kushinda kata moja tu.

Dhambi ya kupinga kila kitu haitawaacha salama.
STUPID
 
Back
Top Bottom