Hiyo mipango itakuwa imekushinda tu kutekeleza.Nilichojifunza hata mtu binafsi natakiwa kuwa na Siri, nyingine hata mke asizijue, yaani mtu yeyote asinifahamu kwa zaidi ya 50%, hata Kama ni mzazi, mafanikio yanategemea usiri, sasa walioumbwa na viherehere... na kutumia tupombe kidogo, wanatembea uchi!! Hadi mipango yako ya mw akani, mtaa mzima wanaijua!!!
Hapo ulipo nani anazijua siri zako mpaka useme umeshindwa kupiga hatua sasabu watu wanazijua?
Hizi mentality umezitoa wapi🤣🤣