Unapenda taarab? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapenda taarab?

Discussion in 'Entertainment' started by Invisible, Apr 27, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Apr 27, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kuna kitu kipya nawaletea wapenda taarab... Nafikiria namna ya kukitambulisha kwenu... Kipya na kikali! Nimekikubali, naamini ukikipata huenda nawe ukajikuta unaburudika haswa...!

  Get prepared... Bashiri ni kitu gani!
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  GT na mimi hapa tunapenda sana mipasho ya Mwambao!

  Hebu tupe jipya Mkuu!
   
 3. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mzee Yusuf, si mwingine...wachezea koki weye, utalowa ati. Soda ya kopo....na leo tena wanogewa mpaka wavunja kikapu. Mambo ya Nataka Paja mie.. teh teh teh..hebu kishushe mkuu
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Tuweke tuburudike mkuu,lazima kitakuwa kibao kikali. Mambo ya mwambao kama kawaida burudani kweli.
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Apr 27, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hizo zote zipo hapa:

  JF Taarab

  Bado...

  Nakuleteeni kitu na naamini mtakubaliana nami kuwa kitu 'kimesimama' kisawasawa!
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Taabu leo ni j3!

  Ingekuwa weekend ingekuwa poa zaidi ila lete tu!!!
   
 7. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hallo hallo, kidole juu babu! duh, yaburudisha yakhe..."wangu nimzibiti (balanta)..." heeeeeeeee, weweya!
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe tehe teeh hii makitu nilikuwa sipendi baada ya kupata kitu cha kizenji nikajikuta naanza kurusha vidole hewani kama tiara
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nilikimbilia hii thread nikajua ni yale mambo ya taarabu imo?
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  My Dear hujakosea ila ni kwamba kuna kibao matata cha taarabu Robot atatuwekea JF tukisikilize. Kwahiyo kaa mkao wa kukisikiliza maana najua na wewe hujakipata...
  Unaijua na hii ya muda kidogo 'Bunduki bila risasi'?!...Haloo
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  My dia hebu njoo kidogo basi tucheze taratibu taarabu za Juma Balo ama Bi Kidude....unawajua hao Bellies!
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Umenikumbusha mbali,1960(usicheke kwa nguvu,LOL)!..Nawakumbuka hao wakongwe,tusubiri na hicho kibao kipya tuburudike vizuri. Hope by end of the week,kitawekwa hapa JF!...
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Apr 28, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Oh,

  Hapana... Ukitembelea JamiiForums Taarab Music utakutana na wimbo wa kwanza huo ndo ukienda mpaka dakika ya 11 mashamsham yanakolea haswa!

  Kila la kheri katika usikilizaji!
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Taarab imo weye?
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Ipo na inapanda mkuu, si unajua mahadhi yake na ujumbe ndani yake!..
  Unaendaga wapi siku hizi kucheki taarabu live zaidi ya lango la jiji?
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Heheheh Shem tafadhali...huyu bint analindwa na mitambo ya kuzuia mabazazi ...hutakiwi kuuliza....ni mimi tu hahahah sawa?
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  masha'Llaaah........
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Shem hata mie? mbona mie joka la kibisa sina sumu.....BJ ni mkata issue mwenzangu tunamkoma nyani hapa hapa.....
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hahahah yale majoka ya Kibisa likipata upenyo linaweza panda juu ya mti hahahaah unaikumbuka ile story ya Kenya?
   
 20. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Yo Yo, ukiwa free sikiliza hiyo taarabu ya Melody-Mwanamke Hulka

  Utaupenda nakwambia!..
   
Loading...