Vitu ambavyo vipo Tanzania pekee

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Wakuuu Niajeeee,
Kuna hizi tabia za baadhi ya watanzania,
Hata ukiwa umepotea ukajikuta sehemu huielewi, baaaasi ujue hapo upo bongoland, Haina kuuliza,

Oky let's get it started.......

1.MASIKINI KUMCHUKIA MASIKINI MWENZIE
Masikini anamchukia Sana masikini mwenzake awe amepata au awe hajapata, atachukiwa tu, atasema vibaya hata kama akifanya zuri bado litaonekana baya tu na ikitokea masikini akafanikiwa basi atachukiwa kinoma yaan bila sababu, na kuitwa shoga la wazungu, freemason, illuminati, muuza madawa, mwizi, nakadhalika, mbona ni kawaida tu kwa masikini alietajirika bongo na wakati huo bado masikini wenzake wanampiga Sana vizinga haijalishi yupo kwenye magumu gani na akiwaambia hana chakuwapa sahivi atawapa baadae basi atachukiwa kinoma yaan unachukiwa kwa sababu ya mali zako daaaah,
yaan wanapenda uishi kishida shida zaidi Yao na uwaombe msaada.

2.KUJIPENDEKEZA NA KUJILAINISHA KWA MATAJIRI
Ukiwa tajiri bongo alafu unapenda kutoa viofa vya bia na vielf mbili mbili, basi utapendwa Sana ile kiusoni tu ili utoe elfu mbili, na utaonekana wa maana na wabongo watajipendekeza Sana sio wanaume na wanawake yaan wote tu,

3.MBONGO HAAMINI KITU MPAKA KIMTOKEE
Mfano unaweza mwambia mbongo kwamba "oya nakuchoma kisu cha kifua nikuue " ...
nae atakujibu "jaribu tuone" au "niue tuone kama unaweza"....
hii ajabu Sana kwa nch zingine mfano south Africa mtu ukimwambia "nakuua" kabla hujamaliza kauli yako ya kumuua basi yeye tayar kashakuua,
wabongo hawaamini kitu Cha kuambiwa wao wanataka uwaoneshe Kila kitu hata kama ni chauongo wewe wapostie waoneshe na watakuamini japo kiduchu.

4. IPHONE
Wabongo wanashobokea Sana simu za iphone,

Hapa haijalishi ni iphone gani unayo iwe 5, 6, 7, 8, X, 11, 12, 13, 14, 15 ukiwa bongo alafu unahiyo simu utaonekana wa maana Sana, Ila ukiwa na zile wanazoita macho matatu haijalishi ni 11,12,13,14 au 15 utaonekana wa maana zaidi alafu unapesa, hapo utashobokewa kinoma na kwa mademu inaaminika kwamba demu akiwa anaiphone basi alidinywa ndy akapewa hiyo simu daaaaaah, na ukiwa mtumiaji wa android especially Tecno, utaonekana ni mshamba na upo kizamani yaan mtu mwenye iphone 8 ambayo ni laki nne dukani anamuona mwenye Infinix ya laki sita hana maana.

5. NDEGE
Hakuna kitu kinachoonekana ni Cha gharama na kitajiri kama kupanda ndege yaan ukipanda ndege inaaminika wewe unamaisha mazuri pesa zipo, hii ni ajabu.

6. KUJIONESHA
Ukiwa bongo Kila kitu unachokifanya ukitaka uaminike upesi basi wewe piga picha na uwaoneshee watu,post status, na sehem zozote.

Ukila chakula kizuri post watu waone, ukiwa na Dem mkali, anatako, mweupe, post watu waone,
ukiwa na basha handsome, anamihela, mtu maarufu, post watu waone, ukipanda ndege piga picha post watu waone, ukiwa kwenye hotel zile za hadhi ya nyota piga picha upost watu waone, ukipiga picha na mtu maarufu post watu waone, Ila ukila dagaa usipost, ukipanda basi, daladala usiposti,

7. USHAMBA, UJUAJI NA UBISHI
Wabongo wengi wao ni washamba na hiyo inajidhihirisha kwenye hizo tabia zao zingine hapo juu,
kwanzia uvaaji namna wanavyoishi mpaka vitu feki wanavyonunua, Wabongo ni wajuaji wao Kila kitu wanajua hata kama hajui kitu fulani atajifanya anakijua tu mwishowe anaharibu na kuumbuka, wabongo wabishi kinoma, unakuta mtu anabisha kitu ambacho hakijui ili aonekane anajua tu.

8. AMANI
Bongo hakuna amani Bali Kuna uoga, wabongo ni waoga wanaumia tu moyoni Ila usoni wanajichekesha,
ni waoga mbongo hakufati direct Ila atakusema vipembeni tu.

wanalalamikia pembeni tu, ooh mama kawa hivi Mara vile, anauza bandari hafai kuwa raisi, alafu vitendo hamna, ni tofauti na nchi zingine mfano Gabon waliona raisi wao anaenda ndvyo sivyo wakampindua fasta, Ila kwa bongo hicho kitu hakitatokea kama vile tunavyomsubiri yesu arudi.

9. UCHAWI NA UMBEA

Bongo uchawi na umbea ni vitu vya kawaida Sana, huku watu wanaendekeza uchawi na wanapenda Sana umbea si wanawake au wanaume, unakuta mwanaume anashinda kwenye page za mange kunambi na mwajuma mlokole kutafuta umbea.

Pia kukuta mwanaume anapiga umbea na wanawake kuhusu maisha ya fulani mbona kawaida Sana tu kwa wabongo.

Kuhusu uchawi wao wanaamini Kila kitu kinaenda kiuchawi uchawi tu, fulani alifanikiwa ni mchawi huyo, flani hivi, flani vile, huyo mchawi huyooo.

10.WABONGO WANAPENDA MAISHA RAHISI AKA KITONGA,WAVIVU
Hii sio kwa wanawake tu hata wanaume wanapenda vitonga, mtu ni mvivu anashindwa hata kumfikisha mwanamke wake kileleni mpka ajibust midawa, yaan baadhi ya wabongo hawapendi kuhangaika, wao wanapenda kupewa tu Ila wao hawapendi kutoa.

HIYO NDIYO BONGO TANZANIA.

ONGEZEA NA MENGINE UNAYOYAJUA WEWE ....

FB_IMG_17013826566418433.jpg
 
11. UCHAWA

12. TANZANIA NDIO NCHI PEKEE WAKUBWA SERIKAKINI WANAPIGA HELA ZA MIRADI NA WASIFANYWE CHOCHOTE.

13.(hii inanihusu mimi) TANZANIA NDO NCHI PEKEE AMBAYO MTU UKIWA UNAUZA MAJENEZA WATU WANAKUDHARAU NA WENGINE KUKUCHUKIA KABISA UTADHANI WEWE NDIYE UMELETA KIFO
 
Mi nyumbani kwetu ndio huwa nachoka watu wana professional hata hawajawahi kuzisomea .Madokta wao ,mafundi wao,wachambuzi wa mpira wao,wapishi wao,wachumi wao,walimu wao,viwanda wao,nuclear wao,siasa wao.Mpaka kichwa kinauma.Mtu unamwambia shingo inaniuma,utasikia UTI hiyo kunywa Azuma.Wabongo na ujuaji nimewashindwa.
 
Wakuuu Niajeeee,
Kuna hizi tabia za baadhi ya watanzania,
Hata ukiwa umepotea ukajikuta sehemu huielewi, baaaasi ujue hapo upo bongoland, Haina kuuliza,

Oky let's get it started.......

1.MASIKINI KUMCHUKIA MASIKINI MWENZIE
Masikini anamchukia Sana masikini mwenzake awe amepata au awe hajapata, atachukiwa tu, atasema vibaya hata kama akifanya zuri bado litaonekana baya tu na ikitokea masikini akafanikiwa basi atachukiwa kinoma yaan bila sababu, na kuitwa shoga la wazungu, freemason, illuminati, muuza madawa, mwizi, nakadhalika, mbona ni kawaida tu kwa masikini alietajirika bongo na wakati huo bado masikini wenzake wanampiga Sana vizinga haijalishi yupo kwenye magumu gani na akiwaambia hana chakuwapa sahivi atawapa baadae basi atachukiwa kinoma yaan unachukiwa kwa sababu ya mali zako daaaah,
yaan wanapenda uishi kishida shida zaidi Yao na uwaombe msaada.

2.KUJIPENDEKEZA NA KUJILAINISHA KWA MATAJIRI
Ukiwa tajiri bongo alafu unapenda kutoa viofa vya bia na vielf mbili mbili, basi utapendwa Sana ile kiusoni tu ili utoe elfu mbili, na utaonekana wa maana na wabongo watajipendekeza Sana sio wanaume na wanawake yaan wote tu,

3.MBONGO HAAMINI KITU MPAKA KIMTOKEE
Mfano unaweza mwambia mbongo kwamba "oya nakuchoma kisu cha kifua nikuue " ...
nae atakujibu "jaribu tuone" au "niue tuone kama unaweza"....
hii ajabu Sana kwa nch zingine mfano south Africa mtu ukimwambia "nakuua" kabla hujamaliza kauli yako ya kumuua basi yeye tayar kashakuua,
wabongo hawaamini kitu Cha kuambiwa wao wanataka uwaoneshe Kila kitu hata kama ni chauongo wewe wapostie waoneshe na watakuamini japo kiduchu.

4. IPHONE
Wabongo wanashobokea Sana simu za iphone,

Hapa haijalishi ni iphone gani unayo iwe 5, 6, 7, 8, X, 11, 12, 13, 14, 15 ukiwa bongo alafu unahiyo simu utaonekana wa maana Sana, Ila ukiwa na zile wanazoita macho matatu haijalishi ni 11,12,13,14 au 15 utaonekana wa maana zaidi alafu unapesa, hapo utashobokewa kinoma na kwa mademu inaaminika kwamba demu akiwa anaiphone basi alidinywa ndy akapewa hiyo simu daaaaaah, na ukiwa mtumiaji wa android especially Tecno, utaonekana ni mshamba na upo kizamani yaan mtu mwenye iphone 8 ambayo ni laki nne dukani anamuona mwenye Infinix ya laki sita hana maana.

5. NDEGE
Hakuna kitu kinachoonekana ni Cha gharama na kitajiri kama kupanda ndege yaan ukipanda ndege inaaminika wewe unamaisha mazuri pesa zipo, hii ni ajabu.

6. KUJIONESHA
Ukiwa bongo Kila kitu unachokifanya ukitaka uaminike upesi basi wewe piga picha na uwaoneshee watu,post status, na sehem zozote.

Ukila chakula kizuri post watu waone, ukiwa na Dem mkali, anatako, mweupe, post watu waone,
ukiwa na basha handsome, anamihela, mtu maarufu, post watu waone, ukipanda ndege piga picha post watu waone, ukiwa kwenye hotel zile za hadhi ya nyota piga picha upost watu waone, ukipiga picha na mtu maarufu post watu waone, Ila ukila dagaa usipost, ukipanda basi, daladala usiposti,

7. USHAMBA, UJUAJI NA UBISHI
Wabongo wengi wao ni washamba na hiyo inajidhihirisha kwenye hizo tabia zao zingine hapo juu,
kwanzia uvaaji namna wanavyoishi mpaka vitu feki wanavyonunua, Wabongo ni wajuaji wao Kila kitu wanajua hata kama hajui kitu fulani atajifanya anakijua tu mwishowe anaharibu na kuumbuka, wabongo wabishi kinoma, unakuta mtu anabisha kitu ambacho hakijui ili aonekane anajua tu.

8. AMANI
Bongo hakuna amani Bali Kuna uoga, wabongo ni waoga wanaumia tu moyoni Ila usoni wanajichekesha,
ni waoga mbongo hakufati direct Ila atakusema vipembeni tu.

wanalalamikia pembeni tu, ooh mama kawa hivi Mara vile, anauza bandari hafai kuwa raisi, alafu vitendo hamna, ni tofauti na nchi zingine mfano Gabon waliona raisi wao anaenda ndvyo sivyo wakampindua fasta, Ila kwa bongo hicho kitu hakitatokea kama vile tunavyomsubiri yesu arudi.

9. UCHAWI NA UMBEA
Bongo uchawi na umbea ni vitu vya kawaida Sana, huku watu wanaendekeza uchawi na wanapenda Sana umbea si wanawake au wanaume, unakuta mwanaume anashinda kwenye page za mange kunambi na mwajuma mlokole kutafuta umbea.

Pia kukuta mwanaume anapiga umbea na wanawake kuhusu maisha ya fulani mbona kawaida Sana tu kwa wabongo.

Kuhusu uchawi wao wanaamini Kila kitu kinaenda kiuchawi uchawi tu, fulani alifanikiwa ni mchawi huyo, flani hivi, flani vile, huyo mchawi huyooo.

10.WABONGO WANAPENDA MAISHA RAHISI AKA KITONGA,WAVIVU
Hii sio kwa wanawake tu hata wanaume wanapenda vitonga, mtu ni mvivu anashindwa hata kumfikisha mwanamke wake kileleni mpka ajibust midawa, yaan baadhi ya wabongo hawapendi kuhangaika, wao wanapenda kupewa tu Ila wao hawapendi kutoa.

HIYO NDIYO BONGO TANZANIA.

ONGEZEA NA MENGINE UNAYOYAJUA WEWE ....

View attachment 2834904
11. uwongo
12. Uchaawi wa mademu
13. Kuabudu wasanii wa bongo fleva na movie wakati hawana issue
14. Kunuka
 
Back
Top Bottom