Unapenda taarab?

Umenikumbusha mbali,1960(usicheke kwa nguvu,LOL)!..Nawakumbuka hao wakongwe,tusubiri na hicho kibao kipya tuburudike vizuri. Hope by end of the week,kitawekwa hapa JF!...

Napenda sana kuangalia na kusikiliza haswa wale wanao cheza wawe na maumbo makubwa nyuma yaani mifadhaiko dah wakianza kuzungusha na kunyonga najiskia raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha balaaaa.
 
karibu jumapili hii pale traveltine magomeni kuna nyonga za kufa mtu na kwa kuwa wewe swahiba wangu unapenda kuiexpress your self nitakuweka kwa anti Juma.
 
hehehehe nashukuru mkuu nitaibuka nani atakuwa anapiga pale Mzee Yusuf au nani?Kama kawa lazima watu tueleze ugonjwa wetu....
 
Kama kawaida mzazi jumapili huwa ni siku ya nakshi nakshi na Jahazi modern Taarab, masoda ya kopo, mambo nt'aka paja mie na vitu kama hivyo. Usisahau vitendea kazi vyako tehtehetehe
 
Mwaka Juzi nilienda Tanga, kuna ukumbi waitwa La Casa Chica, siku ya J5 wanaita vidole juu...nikajitoma ndani na washikaji loooh tulikutana mamaaa hayo 4x4 by far....imejipodoa kama majini...tukaambiwa ndo Tanga, nyie mwatoka bara? Sigara yavutwa pande mbili bwana....du sikuwa elewa...sasa kukawa na mduara fulani wanacheza vizuri kweli....ila kulikuwa na wanaume wanakata mauno kama hawana akili nzuri...kuulizia tukaambiwa wale wote mashoga....nikachukia taarabu kuanzia siku hiyo....
 
mkuu we usijali nitakuja full gwamba je ule mchezo wangu una uhakika nitachukua kitu lakini?
 
Kweli wa bara weye!
Tanga waja leo.....,tanga raha, tanga mambo yote..., sii mijimama tu hata mabinti wapo (mabinti wa kitanga).
 
mkuu we usijali nitakuja full gwamba je ule mchezo wangu una uhakika nitachukua kitu lakini?

Haswa mzee hapa utashindwa wewe mwenyewe maana hata gharama ni za kawaida tu, unanunua miraa na coca moja kabla hamjaondoka unanunua sport(sigara) tano mchezo umekwisha. Ila ukilala naye ficha mbali wallet, simu na vitu vyote vya ukweli waweza kujikuta umelala tajiri unaamka masikini.
 
Mwaka Juzi nilienda Tanga, kuna ukumbi waitwa La Casa Chica, siku ya J5 wanaita vidole juu...nikajitoma ndani na washikaji loooh tulikutana mamaaa hayo 4x4 by far....imejipodoa kama majini...tukaambiwa ndo Tanga, nyie mwatoka bara? Sigara yavutwa pande mbili bwana....du sikuwa elewa...sasa kukawa na mduara fulani wanacheza vizuri kweli....ila kulikuwa na wanaume wanakata mauno kama hawana akili nzuri...kuulizia tukaambiwa wale wote mashoga....nikachukia taarabu kuanzia siku hiyo....

Pole mazee hayo ndiyo mambo ya twaarab, nilitegemea kwa kuwa wewe ni mzee wa express your self hilo lisingekusumbua. Kwani mbolea zinatofauti gani?kama wewe ni mkulima wa kweli iwaje unachagua jembe mzazi? Basi huku K'nondoni mango garden kila alhamis anapopiga mzee yusuph kuna mashoga wawili wanashindana viuno huku wenzao wakiwashangilia huwa ni dhahma sana kwa wageni wa mambo ya mwambao.
 
Ohhh mazee I do not do men....no way!
 
Haswa mzee hapa utashindwa wewe mwenyewe maana hata gharama ni za kawaida tu, unanunua miraa na coca moja kabla hamjaondoka unanunua sport(sigara) tano mchezo umekwisha. Ila ukilala naye ficha mbali wallet, simu na vitu vyote vya ukweli waweza kujikuta umelala tajiri unaamka masikini.

hehehehe nakabizi mapokezi naingia mweupe au naficha kwenye nguo zake...
 
Hizo zote zipo hapa:

JF Taarab

Bado...

Nakuleteeni kitu na naamini mtakubaliana nami kuwa kitu 'kimesimama' kisawasawa!
hahaha nilidhani mambo ya FIDEL nikasema kha! mwenzangu inamaana invisible amevua lile CHUPI LA CHUMA na sasa anawaza yasiyowazika hahaha.
 
hehehehe mkuu ukiwa mwanachama wa Taarabu kunako lazima uwe nako mwanachama hehehe usiseme sana invisible akisikia nitakuwa likizo ooooh mtanikosa.
 
hii ni taarab au mfano wa taarab?

tuletee folder tofauti yenye TAARAB ORIGINAL au ASLI si huu upuuzi unaoimbwa na wahaya na wajaluo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom