Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,753
hahahahahehehehe mkuu ukiwa mwanachama wa Taarabu kunako lazima uwe nako mwanachama hehehe usiseme sana invisible akisikia nitakuwa likizo ooooh mtanikosa.
ngoja nikimbie haraka robot asinikute humu. najiulizaga wale mabaunsa wanaorusha vidole hewani ina maana nao ndo vile au inakuwaje maana utakuta mtoto wa kiume anasawajika kuliko jimama.... ah we acha tu
sie wengine huwaga tunachovya kidole kwenye asali bila kuogopa nyuki wang'atao