Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Hahahahaha uwiiii
Mwanaume hustler unaweza jikuta unauza vitafunio ofisini ......

International schools utabak kuziona kwenye tv tuuu ila watoto wako hawanusi hata pua ,,
Vacation life utabaki kusikia kwenye terimundoo ...... uwiiii !!!!!

We all need life after all huyo huyo mwanamme unayemvumilia akipata anatafuta bebez ...

Daaah Mungu niepushie kabisa hawa hustlers !!!!!!!
Mbona hustlers wengi tu watoto wao wanasoma international schools?! Sometimes mnaongelea vitu vidooogo as if ni vikubwa!
 
Hawa vijana wanasikitisha. Kwa hali ya kawaida mwanamke anaolewa akiwa na 24-27 hapo anaolewa na mwanaume 26-30. Sasa maisha yetu ya kibongo soma hadi chuo upate kazi nzuri, umri huo kuna tajiri? Ni wazi hapo unaolewa na potential, mtu ambae unamuona baada ya miaka 5-10 atakuwa 'tajiri' unaemuota akutimizie ndoto zako!

Kuna mtu katika huo umri hata anauelekeo wa maisha yaani unamuona kabsa within 3-5 yrs atakuwa somewhere ila wengine ni kapa kabisa hakuna analoweza sasa huo mzigo wa nini .....
 
Sasa basi kama ndivyo hivyo, mbona wanaume tukikaa kimya bila uamuzi wa kuwaoa huwa mnakuja kuomba ndoa? Machozi mnatoa na kwa waganga huwa mnaenda kulazimisha kuolewa!
 
Kaa hivoo hivoo endeleleaa kujikandikaa hayo mamikorogo hutampata hata huyo Hustler
 
Na hilo ndo lamuhimu mke wa mchepuko wangu!!!! Pesa huisha lakinii upendo hudumu, wacha nipande bodaboda nikifika nyumbani nakutana na tabasamu la upendo, mshauri na baba watoto!!!! Sio wote wenye hela wako na amani!!!!
Sikuwahi kujua km una hekima hivyo barikiwa.
 
Kuna mtu katika huo umri hata anauelekeo wa maisha yaani unamuona kabsa within 3-5 yrs atakuwa somewhere ila wengine ni kapa kabisa hakuna analoweza sasa huo mzigo wa nini .....
Soma tena nilichoandika. Nimesema unaolewa na potential..mtu ambae unamuona baada ya miaka fulani atakuwa wapi. Hata dada yangu sitaki aolewe na mtu yeyote tu, ila asipoteze muda kudanga apate 'tajiri'
 
Inategemea na outing yenyewe. Outing unampeleka mkeo bar!!? Halafu unaita outing. Ndiyo maana nimeandika outing ya nguvu.
Kuna stages, anajikuna anapofika, hata hao matajiri walianzia chini wakapanda juu. Leo anampeleka bar kesho atampeleka vacation Dubai( Kaboom shenzi wewe!)
Na wa hivyo mnaetengenezana hata likiharibika mahali basi kuna ile respect mnakuwa nayo to each other maana mnajua mlipotokea. Ukiikuta ready made pakiharibika ndio fimbo ya kukuchapia.

Ukimpata huyo mwenye nazo ni heri lakini pia ukimpata asie nazo lakini ana potential usimuache, mpe a shoulder to lean on ili mfikie pale unapopataka.
 
Hahahahaha uwiiii
Mwanaume hustler unaweza jikuta unauza vitafunio ofisini ......

International schools utabak kuziona kwenye tv tuuu ila watoto wako hawanusi hata pua ,,
Vacation life utabaki kusikia kwenye terimundoo ...... uwiiii !!!!!

We all need life after all huyo huyo mwanamme unayemvumilia akipata anatafuta bebez ...

Daaah Mungu niepushie kabisa hawa hustlers !!!!!!!
Na Mungu atakuepusha na hao matajiri pamoja na walala hoi tuone km hjaanz kuweka mabango ya kutaka mchumba humu
 
Na Mungu atakuepusha na hao matajiri pamoja na walala hoi tuone km hjaanz kuweka mabango ya kutaka mchumba humu

Huhuhu
Laana ya kunguru haimpati mwewe
Afu siku zote Mungu anakupa kutokana na hitaji la moyo wako ..... wee kama kwako kila kitu ni sawa that is youu !!!!
Wengine tunajua nini tunataka
 
Kuna stages, anajikuna anapofika, hata hao matajiri walianzia chini wakapanda juu. Leo anampeleka bar kesho atampeleka vacation Dubai( Kaboom shenzi wewe!)
Na wa hivyo mnaetengenezana hata likiharibika mahali basi kuna ile respect mnakuwa nayo to each other maana mnajua mlipotokea. Ukiikuta ready made pakiharibika ndio fimbo ya kukuchapia.

Ukimpata huyo mwenye nazo ni heri lakini pia ukimpata asie nazo lakini ana potential usimuache, mpe a shoulder to lean on ili mfikie pale unapopataka.
Jina la Bwana lihimidiwe
 
Huhuhu
Laana ya kunguru haimpati mwewe
Afu siku zote Mungu anakupa kutokana na hitaji la moyo wako ..... wee kama kwako kila kitu ni sawa that is youu !!!!
Wengine tunajua nini tunataka
Na uniandae kuharibikiwa mwili wako mana kila atakachoongea utakubal cz ana hela
 
Hivi bado Albadil inafanya kazi ama!!!

Wanawake wa hivi ndo mwanaume amtundikiwa dilip la maji au damu yeye anakwambia baby unajua nywele zangu zimefumka!!!!
 
Pole kwa yaliyo kukuta muda ni muhimu sana kwako kuliko fedha na mari olewa kwanza mwinue mumeo kama unauwezo mtaheshimiana uhai wenu wote tajiri unayemtaka mnachangia wengi hawi na mke mmoja
 
Back
Top Bottom