Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Sexless, maisha hayawezi kuwa sawa maana hatuko kwenye ujamaa, uchumi ni wa ubepari huu, kuna wenye nacho na wasio nacho. Hivyo basi kila binadamu kwa ubinadamu wake ana haki ya kupenda na kupendwa regardless hali yake ya kiuchumi au vinginevyo.

Ingekuwa ni just simple like that dunia ingekuwa na akina Bil gates tu!! Cha msingi ni kuwa na mtu atakayeongeza kitu ktk maisha yako. Material things zinatafutwa. Kuna aina fulani ya wanaume ambao yaani wako sharp by nature na hawahitaji msaada wamwanamke kufika mahali fulani, ila kuna wale wanaohitaji a little push ili waweze kurealize the potentials they have na kuzifanyia kazi.

Ila sasa kama ndio mmekutana wote mnaohitaji kusukumwa ndio mtabakia hapo hapo maana hakuna wa kumsaidia mwenzie. Tuliumbwa jinsia mbili kwa sababu maalumu(sio kuunganisha vikojoleo tu) tunategemeana in one way or another. Hivyo basi cha msingi hapa ni kufundishana kutokuwa comfortable ktk umasikini as hakuna anayefurahia umasikini hata kidogo, we have to push hard,very hard ili tujikwamue na angalau tukienda outing akili ziko relaxed.
(hiki cha leo kwakweli ni cha arusha sio mimi. )

hahahaha kwa mara ya kwanza mwanadada umemwagikaaa !hhaha kweli cha chuga hiki !thts the fact maa
 
Sawa mkuu umenena vema. Lkn wanaume wa siku hizi wanahangaika hovyo. Anakuja kutulia na kuamua kuoa tayari yu takribani miaka 40. Sasa mwanaume wa hivi hata uwe na upako huwezi kumpushi mfike mahali mtoke kimaisha. Ni bora kwenda kwa aliyepiga hattua.

Idea yako ya kusaidiana ilikuwa inafanya kqzi miaka ya nyuma wakati vijana ktk umri wa miaka 18-20 walikuwa wakioana na kuanza safari ya maisha pamoja
 
si mpaka mwenye hela akupende sasa, apange kukuoa ingekuwa ni kujiamulia wote mngeolewa na mengi/manji
 
Inategemea na outing yenyewe. Outing unampeleka mkeo bar!!? Halafu unaita outing. Ndiyo maana nimeandika outing ya nguvu.
Sizungumzii outing za Bar...chukulia outing to this cool..good places may be Hyatt regency...serena...hotels kwa national parks...ngapi zinamfanya man aonekane tajiri....kwa wengine hivi ni vitu normal sana...ndo life style
 
Sexless, maisha hayawezi kuwa sawa maana hatuko kwenye ujamaa, uchumi ni wa ubepari huu, kuna wenye nacho na wasio nacho. Hivyo basi kila binadamu kwa ubinadamu wake ana haki ya kupenda na kupendwa regardless hali yake ya kiuchumi au vinginevyo.

Ingekuwa ni just simple like that dunia ingekuwa na akina Bil gates tu!! Cha msingi ni kuwa na mtu atakayeongeza kitu ktk maisha yako. Material things zinatafutwa. Kuna aina fulani ya wanaume ambao yaani wako sharp by nature na hawahitaji msaada wamwanamke kufika mahali fulani, ila kuna wale wanaohitaji a little push ili waweze kurealize the potentials they have na kuzifanyia kazi.

Ila sasa kama ndio mmekutana wote mnaohitaji kusukumwa ndio mtabakia hapo hapo maana hakuna wa kumsaidia mwenzie. Tuliumbwa jinsia mbili kwa sababu maalumu(sio kuunganisha vikojoleo tu) tunategemeana in one way or another. Hivyo basi cha msingi hapa ni kufundishana kutokuwa comfortable ktk umasikini as hakuna anayefurahia umasikini hata kidogo, we have to push hard,very hard ili tujikwamue na angalau tukienda outing akili ziko relaxed.
(hiki cha leo kwakweli ni cha arusha sio mimi. )
Toka pepooooo (teh leo sio bure)
 
Tengua kauli...kuzaa ukiwa kwenye familia sio kuongeza shida... Haujui thamani ya watoto
 
Aliyekwambia Hustlers wote ni walalahoi nani...we vipi??
Halafu hii tabia ya kudharau wanaume maskini sio nzuri kabisa...wewe sio mpangaji wa riziki maisha ni kutafuta mkuu, kwa hiyo usifikiri kila aliyeolewa na 'hustler' mwisho wake huwa mbaya.

Ajuae ya leo na kesho ni Mola mkuu
Ha ha ha ha mkuu nimependa tu ulivyomalizia....we vipi??
 
Sexless, maisha hayawezi kuwa sawa maana hatuko kwenye ujamaa, uchumi ni wa ubepari huu, kuna wenye nacho na wasio nacho. Hivyo basi kila binadamu kwa ubinadamu wake ana haki ya kupenda na kupendwa regardless hali yake ya kiuchumi au vinginevyo.

Ingekuwa ni just simple like that dunia ingekuwa na akina Bil gates tu!! Cha msingi ni kuwa na mtu atakayeongeza kitu ktk maisha yako. Material things zinatafutwa. Kuna aina fulani ya wanaume ambao yaani wako sharp by nature na hawahitaji msaada wamwanamke kufika mahali fulani, ila kuna wale wanaohitaji a little push ili waweze kurealize the potentials they have na kuzifanyia kazi.

Ila sasa kama ndio mmekutana wote mnaohitaji kusukumwa ndio mtabakia hapo hapo maana hakuna wa kumsaidia mwenzie. Tuliumbwa jinsia mbili kwa sababu maalumu(sio kuunganisha vikojoleo tu) tunategemeana in one way or another. Hivyo basi cha msingi hapa ni kufundishana kutokuwa comfortable ktk umasikini as hakuna anayefurahia umasikini hata kidogo, we have to push hard,very hard ili tujikwamue na angalau tukienda outing akili ziko relaxed.
(hiki cha leo kwakweli ni cha arusha sio mimi. )
Wise words from espy, akiga nyinge ya Arusha nitalipa mimi
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lkn hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh!! Kweli?? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha? Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii!!!! Mkiyaanza maisha wakati mna nanihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nn? Au umevurugwa?

Wanaume maskini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na Wazazi wako.
Ushauri wko unabomoa n haujengi jamii. Hakika mwisho kun maumivu tn makal sn.
 
Sexless, maisha hayawezi kuwa sawa maana hatuko kwenye ujamaa, uchumi ni wa ubepari huu, kuna wenye nacho na wasio nacho. Hivyo basi kila binadamu kwa ubinadamu wake ana haki ya kupenda na kupendwa regardless hali yake ya kiuchumi au vinginevyo.

Ingekuwa ni just simple like that dunia ingekuwa na akina Bil gates tu!! Cha msingi ni kuwa na mtu atakayeongeza kitu ktk maisha yako. Material things zinatafutwa. Kuna aina fulani ya wanaume ambao yaani wako sharp by nature na hawahitaji msaada wamwanamke kufika mahali fulani, ila kuna wale wanaohitaji a little push ili waweze kurealize the potentials they have na kuzifanyia kazi.

Ila sasa kama ndio mmekutana wote mnaohitaji kusukumwa ndio mtabakia hapo hapo maana hakuna wa kumsaidia mwenzie. Tuliumbwa jinsia mbili kwa sababu maalumu(sio kuunganisha vikojoleo tu) tunategemeana in one way or another. Hivyo basi cha msingi hapa ni kufundishana kutokuwa comfortable ktk umasikini as hakuna anayefurahia umasikini hata kidogo, we have to push hard,very hard ili tujikwamue na angalau tukienda outing akili ziko relaxed.
(hiki cha leo kwakweli ni cha arusha sio mimi. )

Maneno mazuri
 
Ninashikuru nimeolewa kwa mapenzi wala si kwa kipato chake. Uwepo wake ndiyo ninaouhitaji
Na hilo ndo lamuhimu mke wa mchepuko wangu!!!! Pesa huisha lakinii upendo hudumu, wacha nipande bodaboda nikifika nyumbani nakutana na tabasamu la upendo, mshauri na baba watoto!!!! Sio wote wenye hela wako na amani!!!!
 
Back
Top Bottom