Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
I thought hs ume hack account yake [emoji4][emoji4][emoji4]Naitumia mimi leo[emoji13] [emoji13]
Au alikunywa energy drink ahahahaaaaaa, mamaako kanikonga moyo [emoji6]
I thought hs ume hack account yake [emoji4][emoji4][emoji4]Naitumia mimi leo[emoji13] [emoji13]
Hahahaaaaa!!Mmh ngoja tuone, asije kuniacha njiani tu kwa tamaa ya range rover
Jioni chungulia mpesa kuna kitu nitaweka humo.Sexless, maisha hayawezi kuwa sawa maana hatuko kwenye ujamaa, uchumi ni wa ubepari huu, kuna wenye nacho na wasio nacho. Hivyo basi kila binadamu kwa ubinadamu wake ana haki ya kupenda na kupendwa regardless hali yake ya kiuchumi au vinginevyo.
Ingekuwa ni just simple like that dunia ingekuwa na akina Bil gates tu!! Cha msingi ni kuwa na mtu atakayeongeza kitu ktk maisha yako. Material things zinatafutwa. Kuna aina fulani ya wanaume ambao yaani wako sharp by nature na hawahitaji msaada wamwanamke kufika mahali fulani, ila kuna wale wanaohitaji a little push ili waweze kurealize the potentials they have na kuzifanyia kazi.
Ila sasa kama ndio mmekutana wote mnaohitaji kusukumwa ndio mtabakia hapo hapo maana hakuna wa kumsaidia mwenzie. Tuliumbwa jinsia mbili kwa sababu maalumu(sio kuunganisha vikojoleo tu) tunategemeana in one way or another. Hivyo basi cha msingi hapa ni kufundishana kutokuwa comfortable ktk umasikini as hakuna anayefurahia umasikini hata kidogo, we have to push hard,very hard ili tujikwamue na angalau tukienda outing akili ziko relaxed.
(hiki cha leo kwakweli ni cha arusha sio mimi. )
Heaven Sent ndio ana simu yangu,vipi kafanyaje maana isije iawa katumia ac yangu kusema pesa ni bonus!! Haki nitamground!!espy kuna mtu anaendesha account yako nini? Maana hizo nondo ulizotiririka sio za nchi hii
Hongera mpz
Tafadhali tu usije sema yale mambo yako ya bunus!!Naitumia mimi leo[emoji13] [emoji13]
Mkuu amini maneno yangu..kwn hastler ni mtu wa aina gn?hastler ni muhangaikaji....ni mtu asiyekuwa na kazi maalum mtaani...kuna vijana wengi tu mitaani hawan kazi maalum lakini wapo vizuri tu..kiafya..kimavazi..na ni msafi hata ukifika kwake utashangaa...mleta uzi kaongea mwanamke utaolewaje na hastler? kumbuka hao hastler ndy wana NGUVU Phiysically fit.,.kuliko hao wnye pesa hivyo mtunze mkeo ..mpe kila kitu...akiingia kwa hastler hatoki....sisi tupo mitaani tunaona...wake za watu wanavyofanywa..na hastlers...hata kama huyo mke akienda kufanya shoping huko ulaya kwn huko ndy hakuna hastlers?mapenzi hayana hivyo....pesa inaboresha penzi tu..lakini haimridhihishi mwnamke kimapenzi..mpe mkeo kila kitu kam humridhishi atatafunwa tu....tena bora asipate dume la mitaani...akipata dume hastler hesabu umeumiaSiyo kweli mkuu, mlalahoi utakutana wapi na mke wa mlalahai mwenye nazo? Mfano mke Meeng nani atamgusa? Unavuja jasho kubeba magunia sokoni kila siku mwenzako anafanya shopping Ulaya.
Mume mzima anaiba hela ya chumvi akaandaye mkeka (aka-bet)
Jana nilipiga kitu cha arusha[emoji12]I thought hs ume hack account yake [emoji4][emoji4][emoji4]
Au alikunywa energy drink ahahahaaaaaa, mamaako kanikonga moyo [emoji6]
AhahahaaaaaaJana nilipiga kitu cha arusha[emoji12]
Bado haijaanza kuweka vichombezo vyake vya bonus [emoji28][emoji28][emoji28]Heaven Sent ndio ana simu yangu,vipi kafanyaje maana isije iawa katumia ac yangu kusema pesa ni bonus!! Haki nitamground!!
Yes,yes,yes,yes. Amejitakia mwenyeweHapo ulipo una nini? zaidi ya shimo la kubebea taka za hao wanaume unao wadharau.......
Punguza dharau mkuu....
Yatafakari tu kaka shemeji, lakini hata hao wenye self push still wanahitaji mwanamke atakaempa peace of mind. Wana ego hao wanajifanyaga hawahitaji mwanamke ila deep down they do. Tuna nafasi kubwa tu ktk maisha yenu as you do too, kwahiyo wote tukizifanya nafasi zetu vyema allmost kila kitu kinakwenda vyema kabisa.Jioni chungulia mpesa kuna kitu nitaweka humo.
Ngoja niendelee kutafakari haya makundi ya self push, women push au wale wa external push
I'm blessed with with precious comment
[emoji16][emoji16][emoji16]yaaan uyu asipovamiwa sijui maan hayo mapovu...Af we dada tabia yako ya kuwamwagisha kaka zetu povu sio poa ujue