Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

ngapi zinamfanya man aonekane
Idadi siyo issue mkuu. Nenda na mood pamoja na matakwa ya mwenza wako. So far mkuu kama unampeleka mkeo maeneo hayo upo vizuri. Wenzako, kwa kuwa leo ni mwanzo wa wikendi ( ijumaa ) wamewapeleka wake zao bar kwa maana ya mtoko.
 
Na hilo ndo lamuhimu mke wa mchepuko wangu!!!! Pesa huisha lakinii upendo hudumu, wacha nipande bodaboda nikifika nyumbani nakutana na tabasamu la upendo, mshauri na baba watoto!!!! Sio wote wenye hela wako na amani!!!!
Kweli kabisa mkuu
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lkn hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh!! Kweli?? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha? Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii!!!! Mkiyaanza maisha wakati mna nanihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nn? Au umevurugwa?

Wanaume maskini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na Wazazi wako.
Nyi ndo mnaotatliwa marinda kisa ty mtu ana hela
 
Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.
Hahahahahaha
 
Wengine tulianza maisha tukiwa chini sana na wanawake zetu.

Uvumilivu,upendo na kuchapa kazi ndio kitu muhimu. I have lots of respect to my wife she was the best thing that could ever happen to me.

Lakini maisha ya sasa ni tofauti vijana wengi wanataka kuoana wakati wana mali matokeo yake ndio kila mtu anataka kuwa mjuaji ndoa unashindikana.
 
Hahaha
Hiyo Range Rover veepe, labda tuinunue wote. Lakini nikimkuta hana siwezi muacha ati kisa nilie humo ndani ya Range..... Utamu wa mali mzitafute pamoja!!!!
Your kind are facing extinction!
 
Wakae na mashine zao, wanawake tunataka raha. Nijilete kwenye dhiki ya maisha kisa mashine!!? Lo!!

Hahahahaha uwiiii
Mwanaume hustler unaweza jikuta unauza vitafunio ofisini ......

International schools utabak kuziona kwenye tv tuuu ila watoto wako hawanusi hata pua ,,
Vacation life utabaki kusikia kwenye terimundoo ...... uwiiii !!!!!

We all need life after all huyo huyo mwanamme unayemvumilia akipata anatafuta bebez ...

Daaah Mungu niepushie kabisa hawa hustlers !!!!!!!
 
Sawa mkuu umenena vema. Lkn wanaume wa siku hizi wanahangaika hovyo. Anakuja kutulia na kuamua kuoa tayari yu takribani miaka 40. Sasa mwanaume wa hivi hata uwe na upako huwezi kumpushi mfike mahali mtoke kimaisha. Ni bora kwenda kwa aliyepiga hattua.

Idea yako ya kusaidiana ilikuwa inafanya kqzi miaka ya nyuma wakati vijana ktk umri wa miaka 18-20 walikuwa wakioana na kuanza safari ya maisha pamoja
Jibu ni rahisi tu, tunakosea ktk malezi. Malezi tunayowalea watoto wetu hatuwaandai kukua mapema, hivyo basi tuwalee watoto wetu ktk njia iwapasayo.
Lakini pia huyo alogoma kukua akipata mwanamke sahihi na akawa tayari kukuzwa anakua vizuri tu.
 
Wengine tulianza maisha tukiwa chini sana na wanawake zetu.

Uvumilivu,upendo na kuchapa kazi ndio kitu muhimu. I have lots of respect to my wife she was the best thing that could ever happen to me.

Lakini maisha ya sasa ni tofauti vijana wengi wanataka kuoana wakati wana mali matokeo yake ndio kila mtu anataka kuwa mjuaji ndoa unashindikana.
Hawa vijana wanasikitisha. Kwa hali ya kawaida mwanamke anaolewa akiwa na 24-27 hapo anaolewa na mwanaume 26-30. Sasa maisha yetu ya kibongo soma hadi chuo upate kazi nzuri, umri huo kuna tajiri? Ni wazi hapo unaolewa na potential, mtu ambae unamuona baada ya miaka 5-10 atakuwa 'tajiri' unaemuota akutimizie ndoto zako!
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lkn hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh!! Kweli?? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha? Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii!!!! Mkiyaanza maisha wakati mna nanihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nn? Au umevurugwa?

Wanaume maskini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na Wazazi wako.
Wewe babako anazo hizo pesa/fedha??? Ushamba na umaskini wa nyumbani kwenu ndiyo unaokusumbua unanuka shida/matatizo unataka ukaponee kwa mwanaume pambana na hali yako..!

Bahati mbaya nyie vile mnaishiaga kuliwa na kutupwa kwenye dustbin..! Mnyxuuuuhh
 
Back
Top Bottom